Balimi zangu naomba apewe mheshimiwa Rais ili akiongezea na zake apate 14

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Posts
4,351
Reaction score
9,838
Wadau mmeona wenyewe tumefanikiwa kwelikweli, yani badala ya Noah sasa kila mtanzania anaweza kupata balimi saba.
Acha tulewe..., tulewe tuu..
Tuleeeewe...., tulewe tu!

Ila balimi zangu, kama zikitoka naomba apewe mheshimiwa rais ili akiongezea na zake basi anywe 14. Angalau anaweza kulewa.
Alewe tu!
Mazungumzo miezi minne unapata bia saba?
Naheri ulewe.

Lisu hajawahi kukosea!!
Alikosea wapi kwa mfano?
Makinikia yanasafiri , hakuna cha trillion 400 ,
Na wala hizo bia za kishika uchumba hazipo!
Yani ni ahadi ya bia na tunaweza pewa moja moja kila mwaka.

Leo gari imepakwa rangi inapigiwa gwaride. Kwakweli hili taifa ntakuja nihame.
Watu wanafanya magwaride kuonyesha mizinga mipya duniani, sisi tunafanya gwaride la kufanikisha kukaza gari bolt?
Kweli jameni tunadhalilishana hivi?
 
tusitumia balimi nini mbadala ....?
 
Tuliambiwa hii ni vita ya kiuchumi... kupigania rasilimali zetu dhidi ya wezi na mabeberu

hata kwa hizo balimi 7 inabidi kujipongeza tu...
 
Max alisema kuna baadhi ya thread akizisoma anashangaa mwandishi alikuwa anawaza nini! Jamani, nimecheka sana. Kwa hiyo suluhisho unaona ni kulewa tu! 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…