Balimi zangu naomba apewe mheshimiwa Rais ili akiongezea na zake apate 14

Balimi moja yauzwaje?

Na kwa mahesabu ya sasa kila mtanzania inabidi apate tshs ngapi?

Natanguliza shukrani.
 
 
Amekosea....alisema tutashitakiwa je tumeshitakiwa? namm nakupa balimi zangu uleweeee....ulewe tuuu
Tutashtakiwaje wakati hakuna tulichokikomalia kisheria?
Ile kodi hatupewi!
Makinikia yanasepa!
Na hata hizi bia hatuwezi kuzidai maana tumepewa 'in good faith'.

Yani heri bia za sherehe uliyochangia unaweza ukazikomalia.
Hizi hata zisipokuja hatuna pakwenda.
 
Tutashtakiwaje wakati hakuna tulichokikomalia kisheria?
Ile kodi hatupewi!
Makinikia yanasepa!
Na hata hizi bia hatuwezi kuzidai maana tumepewa 'in good faith'.
Alisema kitendo cha kuzuia tu makinikia ni mashitaka tosha. ....je tumeshitakiwa au wameomba poo? chukua balimi zangu uleweee ....ulewe tuuu

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Hizo b700 tu ni kuomba poo....hapo bado zile hela zetu za Noah bado hazijajadiliwa .....muhudumu.....muongeze balimi....aleweeee alewe tuu
 
Mmepigwa za uso so jiliwazeni na Balimi....bia ya wakulima wazee wa kupinga kila kitu....mleweeee....mlewe tuuu
 
Japo n mawazo yako ila n nonsense
Hv hauoni aibu..
Hv roho yako haikusutiiii..
Hovyooo..
 
Mgagaa na upwa hali wali mkavu.

Hicho hicho si haba, asingekomaa nao tusingekipata

Wakiwa jeuri unakuwa jeuri zaidi yao.

Mengi yatakayotokana na michakato hii ni ya long term,

Kwa hy ni rahisi kubeza kwani immediate impacts zinaweza zisiwe kali kivile

Kwa sector ya madini walau serikali imeonyesha haitaki mzaha, mwelekeo ni mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…