Umenichekesha kinoma juzi kuna Rafiki yangu amevipiga sita hivi hana hamu anasema kaka ile kitu lazima huwe umeshibaHii balimi haikawii kuzingua haisee
Mkuu huwe umeshiba vizuri LA utatupa mrejeshoHii balimi inapaishwa sana cha ajabu Sijawahi kuinywa,...... Nadhani mwisho wa kusimuliwa ni leo jioni.
Mkuu hongera sana huo mtaji sio habaBalimi raha sana ukipiga NNE na kuendelea we bingwa,
Karibuni tunauza tuwauzie bia jumla jumla.
MEATU-Simiyu
Una Nyumba ngapi mpaka sasa ukilinganisha na umri wako??UNYWAJI WA BIA UNALETA UMASIKINI....Tuliza akili yako... Bia moja inanunua tofali mbili... Kama mtu unakunywa bia nane (8) kwa wiki ni sawa na bia 32 kwa mwezi sawa na bia 384 kwa mwaka= tofali 768..hii inatosha kujenga msingi wa nyumba ndogo ya vyumba viwili na sebule na kupandisha kidogo... Kwahyo usije ukalalamika maisha magumu wakati matumizi yako ndo mabaya..
Hv nyumba inajengwa na tofali pekee??UNYWAJI WA BIA UNALETA UMASIKINI....Tuliza akili yako... Bia moja inanunua tofali mbili... Kama mtu unakunywa bia nane (8) kwa wiki ni sawa na bia 32 kwa mwezi sawa na bia 384 kwa mwaka= tofali 768..hii inatosha kujenga msingi wa nyumba ndogo ya vyumba viwili na sebule na kupandisha kidogo... Kwahyo usije ukalalamika maisha magumu wakati matumizi yako ndo mabaya..
Bila shaka umeandika post hii ukiwa umeFastJet.Wazee kwa hii ya awamu ya tano na kuisoma namba huku, nazan mpo pamoja nami kuwa hii ndio bia bora na inakuja kwa kasi ya ajabu sanaaa
Kadri magu anavyo zidi kukaza ndivyo inavyo FASTJET inapozidi kiwa tamu
Ukiachana na baba la dk nyepesi LUSEKELO kinywaji muraa kisicho na tripi nyingi za toilet basi FASTJET inafwata kwa ubora kamili na maridhawa
Watu tunywee sana na kwa kufujo maisha ni mafupi mnoo wachache wanafika 100yrs old
Tunywee tuu
Ponda rahaa ndio lengo la kuletwa duniani
HahahaaaUzuri wa hii bia inauchapa ubongo wote, haiachi sehemu yoyote.
Nikajua kulikuwa na FastJet kadhaa kichwani mkuu,hivyo typing ikawa ya speed kali.Ah ah mkuu typing error nazoo
Kwasasa sasa ishatambaa tz nzima kwa fujo ya ajabu kmscendo mbaya vileHii bia inauzika sana kanda ya ziwa slogani yake ni Bia yetu kanda yetu..."FastJet" kiboko ukipiga tatu tu baaas unaenda home
Ha ha haaaa,, mkuu unazungumzia london dry gin au?Hivi mnamjua mdudu anayeitwa LONDON DRY???? kwa wale wa moshi na arusha