BalimiI/kirkuu a.k.a fastjet bei ndogo majibu fastaa

UNYWAJI WA BIA UNALETA UMASIKINI....Tuliza akili yako... Bia moja inanunua tofali mbili... Kama mtu unakunywa bia nane (8) kwa wiki ni sawa na bia 32 kwa mwezi sawa na bia 384 kwa mwaka= tofali 768..hii inatosha kujenga msingi wa nyumba ndogo ya vyumba viwili na sebule na kupandisha kidogo... Kwahyo usije ukalalamika maisha magumu wakati matumizi yako ndo mabaya..
 
Balimi raha sana ukipiga NNE na kuendelea we bingwa,
cc1a530da423b53d479fe9c411db33d6.jpg

7a27643237a2c3894b2ebae6477246f4.jpg

ed662b4cd05baa0785cd3f095394a2c9.jpg

Karibuni tunauza tuwauzie bia jumla jumla.
MEATU-Simiyu
Mkuu hongera sana huo mtaji sio haba
 
UNYWAJI WA BIA UNALETA UMASIKINI....Tuliza akili yako... Bia moja inanunua tofali mbili... Kama mtu unakunywa bia nane (8) kwa wiki ni sawa na bia 32 kwa mwezi sawa na bia 384 kwa mwaka= tofali 768..hii inatosha kujenga msingi wa nyumba ndogo ya vyumba viwili na sebule na kupandisha kidogo... Kwahyo usije ukalalamika maisha magumu wakati matumizi yako ndo mabaya..
Una Nyumba ngapi mpaka sasa ukilinganisha na umri wako??
 
UNYWAJI WA BIA UNALETA UMASIKINI....Tuliza akili yako... Bia moja inanunua tofali mbili... Kama mtu unakunywa bia nane (8) kwa wiki ni sawa na bia 32 kwa mwezi sawa na bia 384 kwa mwaka= tofali 768..hii inatosha kujenga msingi wa nyumba ndogo ya vyumba viwili na sebule na kupandisha kidogo... Kwahyo usije ukalalamika maisha magumu wakati matumizi yako ndo mabaya..
Hv nyumba inajengwa na tofali pekee??

Mambo yangerahisi hvyo basi wanywa novida na milinda orane wengi wangekuwa wameshajenga tayar

Acha ukoma ponda rahaaaa
 
Jana nimekunywa haina shida yaani poa kwa radha na poa kiuchumi
 
Wazee kwa hii ya awamu ya tano na kuisoma namba huku, nazan mpo pamoja nami kuwa hii ndio bia bora na inakuja kwa kasi ya ajabu sanaaa

Kadri magu anavyo zidi kukaza ndivyo inavyo FASTJET inapozidi kiwa tamu

Ukiachana na baba la dk nyepesi LUSEKELO kinywaji muraa kisicho na tripi nyingi za toilet basi FASTJET inafwata kwa ubora kamili na maridhawa

Watu tunywee sana na kwa kufujo maisha ni mafupi mnoo wachache wanafika 100yrs old

Tunywee tuu

Ponda rahaa ndio lengo la kuletwa duniani
Bila shaka umeandika post hii ukiwa umeFastJet.
 
Hii bia inauzika sana kanda ya ziwa slogani yake ni Bia yetu kanda yetu..."FastJet" kiboko ukipiga tatu tu baaas unaenda home
 
Kwasasa sasa ishatambaa tz nzima kwa fujo ya ajabu kmscendo mbaya vile

Dar nimeyakuta
Mbeya nimeyakua
Iringa nk

BIA YANGU KANDA.YENU
 
Back
Top Bottom