"Ball Boys" ni chaka jipya la kuingiza ushirikina viwanjani

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kuna jambo limenishangaza jana la kitendo cha ball boys kuiba begi la golikipa wa TP Mazembe na kukimbia nalo.

Kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha Rais wa Yanga Hersi Said ambaye pia ni kiongozi anayetafuta heshima Afrika akiwa anashikilia cheo cha Mwenyekiti wa Taasisi ya Vilabu kuwapongeza ball boys hao. Hii inaleta picha gani kwa mpira wa Afrika?

1000039445.jpg

Kesho keshokutwa hawa ball boys watatumika kuvamia viwanja na kuwamwagia "maji" wachezaji wa timu pinzani. Watatumika kuondoa upepo kwenye mipira na uhuni mwingine ambao akili yangu bado haijapevuka kubuni.

NYONGEZA: Sisemi msifanye uhuni ila kuna njia za kufanya uhuni bila kuonekana washamba.
 
mkuu hawa vijana wanasaidia sana upande wa fitina kila mechi pale taifa wnachelewa kuleta mipira uwanjani sio simba sio yanga wananufaika sana na hawa home boys wanasaidia sana mkuu fitina kwenye soka la afrika ni muhimu sana
 
Kuna jambo limenishangaza jana la kitendo cha ball boys kuiba begi la golikipa wa TP Mazembe na kukimbia nalo.

Kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha Rais wa Yanga Hersi Said ambaye pia ni kiongozi anayetafuta heshima Afrika akiwa anashikilia cheo cha Mwenyekiti wa Taasisi ya Vilabu kuwapongeza ball boys hao. Hii inaleta picha gani kwa mpira wa Afrika?

View attachment 3193255

Kesho keshokutwa hawa ball boys watatumika kuvamia viwanja na kuwamwagia "maji" wachezaji wa timu pinzani. Watatumika kuondoa upepo kwenye mipira na uhuni mwingine ambao akili yangu bado haijapevuka kubuni.

NYONGEZA: Sisemi msifanye uhuni ila kuna njia za kufanya uhuni bila kuonekana washamba.
Mbona mapema sana?
Nilitegemea mutaanza kulia nyau baada ya gusa achia twende kwao kuanza funya kazi, lakini sikutegea itakua mapema kiasi hichi.
 
"Soka la Bongo, Simba na Yanga" 🎶

Soka la Africa kiujumla limenishinda kabisa, figisu nyingi sana. Kwa Bongo ni bora niangalie amateur football kuliko kuangalia madudu ya kwenye pro football.
 
Kuna jambo limenishangaza jana la kitendo cha ball boys kuiba begi la golikipa wa TP Mazembe na kukimbia nalo.

Kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha Rais wa Yanga Hersi Said ambaye pia ni kiongozi anayetafuta heshima Afrika akiwa anashikilia cheo cha Mwenyekiti wa Taasisi ya Vilabu kuwapongeza ball boys hao. Hii inaleta picha gani kwa mpira wa Afrika?

View attachment 3193255

Kesho keshokutwa hawa ball boys watatumika kuvamia viwanja na kuwamwagia "maji" wachezaji wa timu pinzani. Watatumika kuondoa upepo kwenye mipira na uhuni mwingine ambao akili yangu bado haijapevuka kubuni.

NYONGEZA: Sisemi msifanye uhuni ila kuna njia za kufanya uhuni bila kuonekana washamba.
Umeandika husks na upu'ribs bila sababu...

...Ni Hayo Tu!
 
Back
Top Bottom