Auna point ya msingi zaidi ya uchuro tu,,kwaiyo siku zote yanga anashinda kutokana na kuwatumia ball boys?Yanga ni timu inayoongoza kwa kupigwa faini kwenye derby miaka nenda rudi kwa sababu ya kufanya ushirikina. Kila derby lazima mruke ukuta na kuvunja milango.
Baadae mkaanza kuwatumia wachezaji kuiba mataulo ya magolikipa. Kuna siku mtawavua bukta wapinzani wenu na kukimbia nazo. Mnapoelekea siyo kuzuri.