Ball boys wa Uarabuni

Ball boys wa Uarabuni

Mr Leo

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
604
Reaction score
1,269
Sina maneno mengi ila tu kutoa appreciation kwa wataalam, wakongwe na wachambuzi wa soka hapa jf kama Greatest Of All Time ,Scars ,GENTAMYCIME na wengineo, sjui hasa ni nani ila nilicho na uhakika kuna member mmoja humu jf aliuliza swali katika thread za yanga dhidi ya USM Alger, aliuliza kuwa" hivi mnawajua ball boys wa waarabu?"

Akaendelea kusema kwa kuwaambia mashabiki wa yanga kuwa hawataamini watakavyofanyiwa na hawa vijana waokota mipira wa kiarabu, na alitabiri figisu nyingj ambazo kimsingi kisoka letu la Africa ni katika mbinu za kuwin michezo tushazoea fitna

Kiukweli kuna watu jf ukiwafuatilia vizuri utajifunza mengi kwenye soka yaani ni wanajua wala hawabahatishi katika kufanya analysis, matokeo huwa ni utabiri na Mara nyingi huwa tunafanya analysis na sio utabiri, tunafaidika na nyie kwakweli na tunatambua sana uwepo wenu

Namuombea young Africans ashiriki caf champions league msimu ujao akutane na giant teams kuna kitu atakipata maana path yake kuelekea final it was too easy the truth they don't want to admit

Naweza sema kwa msimu huu 2022-2023 team kubwa ambayo yanga kacheza nayo ni simba tu, najua hawawezi likubali hili ila ni kweli.
 
Ile comment ya mdau kuhusu Ball Boys wa kiarabu naikumbuka sana, sema huyo mdau mwenyewe nimemsahau.

Jana wale madogo walifanya kazi iliyotukuka kwa timu yao.
 
Huu ushenzi wa hao ball boys wa timu za kiarabu nani tumtume CAF akatusmee maana ni nje ya kanuni
 
Huwa wanafanyaje?? Wengine tulikua tumelala..
 
Mm nashangaa kwann mpaka sasa sijasikia timu yyte kutoka uarabuni ikipigwa faini ama uwanja kufungiwa maana wanafanya Fujo za wazi kabisa mbona Yanga juzi kati tu hapa vijifataki tuwili tukasikia faini kwann sio uarabuni?
 
Waarabu ujinga wao unaendana na ile dini yao
Acha povu na mihemuko ww, kwasababu mada ni mpira usharuka kwenye dini kisa kufungwa kwa yanga

Wajinga ni nyie kufungwa kwenu alafu mkataka kwenda kuchukua kombe kwenye ardhi ya watu! Hata ningekuwa Mimi ningefanya fitna na figisu libaki kwangu, kwanini upotezee nyumbani kwako goal mbili
 
Ndio dini ile inavyokutuma kufanya fitina
 
Ila kumbukeni kuna mechi hapa Dsm, Yule shoga wa Yanga aliwasifia kwa kupoteza muda
 
Vijana wamepikwa wakaiva sio waokota mipira wa huku na mashabiki wanasgangilia magoli pasipokuwa na goli kufungwa uwanja unapoa na watu wanakata tamaa hadi viongozi kina Hersi,FA uzalendo wa kufia Timu bado sana kwa hapa unyumbuni.
 
Mm nashangaa kwann mpaka sasa sijasikia timu yyte kutoka uarabuni ikipigwa faini ama uwanja kufungiwa maana wanafanya Fujo za wazi kabisa mbona Yanga juzi kati tu hapa vijifataki tuwili tukasikia faini kwann sio uarabuni?
Hili swali na mie nimejiuliza nahisi kuchanganyikiwa..
Ndio maana niliacha kushabikia mpira wa africa.
 
Sina maneno mengi ila tu kutoa appreciation kwa wataalam, wakongwe na wachambuzi wa soka hapa jf kama Greatest Of All Time ,Scars ,GENTAMYCIME na wengineo, sjui hasa ni nani ila nilicho na uhakika kuna member mmoja humu jf aliuliza swali katika thread za yanga dhidi ya USM Alger, aliuliza kuwa" hivi mnawajua ball boys wa waarabu?"

Akaendelea kusema kwa kuwaambia mashabiki wa yanga kuwa hawataamini watakavyofanyiwa na hawa vijana waokota mipira wa kiarabu, na alitabiri figisu nyingj ambazo kimsingi kisoka letu la Africa ni katika mbinu za kuwin michezo tushazoea fitna

Kiukweli kuna watu jf ukiwafuatilia vizuri utajifunza mengi kwenye soka yaani ni wanajua wala hawabahatishi katika kufanya analysis, matokeo huwa ni utabiri na Mara nyingi huwa tunafanya analysis na sio utabiri, tunafaidika na nyie kwakweli na tunatambua sana uwepo wenu

Namuombea young Africans ashiriki caf champions league msimu ujao akutane na giant teams kuna kitu atakipata maana path yake kuelekea final it was too easy the truth they don't want to admit

Naweza sema kwa msimu huu 2022-2023 team kubwa ambayo yanga kacheza nayo ni simba tu, najua hawawezi likubali hili ila ni kweli.
Mashabiki wa mpira wa tz watu wa hovyo sana unaitaje wapinzani wa yanga ni wepesi wakati walipimwa kwa vigezo sawa.mkishirikiana na hao waandishi wenu wanaojazana studio kuongea ujinga kutwa nzima mna akili za hovyo sana. Hizi kauli easy way mbona hatujazisikia wakati simba wanachoma ubani kule SA?
 
Ndio dini ile inavyokutuma kufanya fitina
Spain juzi tu vincious kabaguliwa Bali si yeye tu imekuwa ni kawaida, pia kwasababu ulaya wakristo ni wengi tutasema ukristo umewatuma hivyo???

Marekani ni dola yenye wakristo wengi na wingereza pia ni dola yenye wakristo wengi sana.....ndio dola zinazosapoti ushoga kwa nguvu zote, kwa sababu zina wakristo wengi kwahiyo ukristo ndio unawafundisha hivyo???

Tatizo mna double standards sana nyie na mpo very negative na Islam.....

Machafu yote ya dunia hii kwa sasa wanakingiwa vifua na dola zenye wakristo wengi katika dola hizo lakini huwezi kusema ni ukristo ndio mafundisho yake.....jaribu kutumia akili yako japo kidogo achana na chuki alizokupandikiza huyo aliyekupandikiza za uongo
 
Mashabiki wa mpira wa tz watu wa hovyo sana unaitaje wapinzani wa yanga ni wepesi wakati walipimwa kwa vigezo sawa.mkishirikiana na hao waandishi wenu wanaojazana studio kuongea ujinga kutwa nzima mna akili za hovyo sana. Hizi kauli easy way mbona hatujazisikia wakati simba wanachoma ubani kule SA?
Tukisema easy way tafsiri yake bado tunarudisha heshima kwa yanga, yaani tunaamini yanga hakukutana na wakubwa wenzie wakumpa challenge, tunaamini yanga ni bora sana kuliko aliocheza nao

Ukitaka tusiseme hivi tafsiri yake yanga uwezo wake na ubora wake si kama top wa south (mamelody, kaizer chief) Bali ni Sawa na mshuka daraja marumo, ukitaka tusiseme easy way tafsiri yake yanga hana uwezo wa kucheza na ahly, wydad,raja,kaizer,mamelody na wengineo ndio maana akaenda kucheza na wa level yake rivers united

Kwa mashabiki wote wa soka nchini wote kwa peak aliyoifikia yanga msimu huu tulitamani kuona akicheza na mamelody, ahly, kaizer,wydad,na raja that's why we claim that it was an easy pass na hatutabadili misimamo yetu kama wapenzi wa soka(nimejiondoa kwenye usimba) na huu kwangu Mimi ndio ukweli
 
Back
Top Bottom