Mr Leo
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 604
- 1,269
Sina maneno mengi ila tu kutoa appreciation kwa wataalam, wakongwe na wachambuzi wa soka hapa jf kama Greatest Of All Time ,Scars ,GENTAMYCIME na wengineo, sjui hasa ni nani ila nilicho na uhakika kuna member mmoja humu jf aliuliza swali katika thread za yanga dhidi ya USM Alger, aliuliza kuwa" hivi mnawajua ball boys wa waarabu?"
Akaendelea kusema kwa kuwaambia mashabiki wa yanga kuwa hawataamini watakavyofanyiwa na hawa vijana waokota mipira wa kiarabu, na alitabiri figisu nyingj ambazo kimsingi kisoka letu la Africa ni katika mbinu za kuwin michezo tushazoea fitna
Kiukweli kuna watu jf ukiwafuatilia vizuri utajifunza mengi kwenye soka yaani ni wanajua wala hawabahatishi katika kufanya analysis, matokeo huwa ni utabiri na Mara nyingi huwa tunafanya analysis na sio utabiri, tunafaidika na nyie kwakweli na tunatambua sana uwepo wenu
Namuombea young Africans ashiriki caf champions league msimu ujao akutane na giant teams kuna kitu atakipata maana path yake kuelekea final it was too easy the truth they don't want to admit
Naweza sema kwa msimu huu 2022-2023 team kubwa ambayo yanga kacheza nayo ni simba tu, najua hawawezi likubali hili ila ni kweli.