Ballon d'Or, 07/12/2017: Cristiano Ronaldo ambwaga Lionel Messi na kushida tuzo yake ya tano! Sasa walingana idadi

Wamempa tu ili walingane na Messi. Wameona atazidi kukosa confidence uwanjani kwa sababu mpk sasa msimu huu hana lolote.
 
Hahaaa.. Yan watu wanaandika kama wao wanafact yoyote vile. Kisa tu hajachukua Messi. Mbona Ronaldo alikua mpole kipindi kile Messi kapiga Hat-trick. Hebu mkue wapole asee.
 
Ishu si goli mkuu! Kwani ramos anagoli ngapi; na buffon je?
 
Ila kwa mbape nahisi wamechochora... Sijui wameangalia dau la usajili?
 
Ila kwa mbape nahisi wamechochora... Sijui wameangalia dau la usajili?
Nahisi kwa neymar ndo limetizamwa dau.
Umesahau kama Monaco walikua bingwa france pamoja na kufika nusu fainal Champion league. Na mbape alikua moja kati ya wachezaji wao bora waloonesha uwezo.
 
Nahisi kwa neymar ndo limetizamwa dau.
Umesahau kama Monaco walikua bingwa france pamoja na kufika nusu fainal Champion league. Na mbape alikua moja kati ya wachezaji wao bora waloonesha uwezo.
Hebu ngoja niingie chimbo nihakiki. Monaco walikuwa mabingwa Legue 1 msimu uliopita? Sio PSG kweli?.
 
Umesema kwel mkuu
 
Umesema kwel mkuu
Kuna kitu lazima tujue. Kuna makampuni makubwa kama Adidas yana ushawishi mkubwa katika hili kwa ajili ya biashara zao. Mpira wa miguu ni team sio individual. Hakuna mchezaji moja akashinda peke yake. Euro portugal walishinda final bila Ronaldo lakini sifa zote yeye wakati hakucheza. Business tu
 
Kweli mkuu yule jamaa black alijitahidi sana hadi akafunga goal la ushindi wakati Portugal wanachukua Euro lakini hakuonekana kabisa
 
Mapumbavu na malofa yanajadili upupu tu. Cr7 ndo ameshabeba mishoga nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…