Ballon d'Or, 07/12/2017: Cristiano Ronaldo ambwaga Lionel Messi na kushida tuzo yake ya tano! Sasa walingana idadi

Hahaaa.. Yan watu wanaandika kama wao wanafact yoyote vile. Kisa tu hajachukua Messi. Mbona Ronaldo alikua mpole kipindi kile Messi kapiga Hat-trick. Hebu mkue wapole asee.
 
Upuuzi mtupu. cavani katia goli 49 msimu uliopita, kapitwa na messi tu. Na anaongoza kwa kufunga magoli mengi ndani ya mwaka huu ulaya nzima. Alichaguliwa pia kuwa mchezaji bora wa ligi ya France mwaka huu. Then inakuaje Ati mbappe, Neymar, Harry Kane wawe juu yake, Kwa misingi ipi? Individual na hata kwa Tim achievement.

Na itakuavipi Neymar awe ndani ya top 3 kwa achivement gani? hajashinda ligi wala Champion league. msimu mzima la liga kafunga magoli 13 tu. mpaka na wachezaji wa vitimuvidogovidogo wamempita kwa magoli. Kwanini awe ahead of Kroos, Marcelo, Cavani, Lewandoski, Dybala, Hazard, Kante, Buffon, Mudric, Suarez, Bernad Silva, Aubameyang, Benzema, Bonucci, Ramos, Isco, Mertens ?

Na Bernad Silva alikua ndo best player msimu ulomaliza kwa monaco. Sasa inakuaje ashindwe kukueomo ndani ya top 30?? kibaya zaidi ati mbappe anashika nafasi ya 7 wakati best performer huyomo ata kwenye top 30.
Ishu si goli mkuu! Kwani ramos anagoli ngapi; na buffon je?
 
Ila kwa mbape nahisi wamechochora... Sijui wameangalia dau la usajili?
 
Nahisi kwa neymar ndo limetizamwa dau.
Umesahau kama Monaco walikua bingwa france pamoja na kufika nusu fainal Champion league. Na mbape alikua moja kati ya wachezaji wao bora waloonesha uwezo.
 
Hebu ngoja niingie chimbo nihakiki. Monaco walikuwa mabingwa Legue 1 msimu uliopita? Sio PSG kweli?.
 
Upuuzi mtupu. cavani katia goli 49 msimu uliopita, kapitwa na messi tu. Na anaongoza kwa kufunga magoli mengi ndani ya mwaka huu ulaya nzima. Alichaguliwa pia kuwa mchezaji bora wa ligi ya France mwaka huu. Then inakuaje Ati mbappe, Neymar, Harry Kane wawe juu yake, Kwa misingi ipi? Individual na hata kwa Tim achievement.

Na itakuavipi Neymar awe ndani ya top 3 kwa achivement gani? hajashinda ligi wala Champion league. msimu mzima la liga kafunga magoli 13 tu. mpaka na wachezaji wa vitimuvidogovidogo wamempita kwa magoli. Kwanini awe ahead of Kroos, Marcelo, Cavani, Lewandoski, Dybala, Hazard, Kante, Buffon, Mudric, Suarez, Bernad Silva, Aubameyang, Benzema, Bonucci, Ramos, Isco, Mertens ?

Na Bernad Silva alikua ndo best player msimu ulomaliza kwa monaco. Sasa inakuaje ashindwe kukueomo ndani ya top 30?? kibaya zaidi ati mbappe anashika nafasi ya 7 wakati best performer huyomo ata kwenye top 30.
Umesema kwel mkuu
 
Umesema kwel mkuu
Kuna kitu lazima tujue. Kuna makampuni makubwa kama Adidas yana ushawishi mkubwa katika hili kwa ajili ya biashara zao. Mpira wa miguu ni team sio individual. Hakuna mchezaji moja akashinda peke yake. Euro portugal walishinda final bila Ronaldo lakini sifa zote yeye wakati hakucheza. Business tu
 
Kweli mkuu yule jamaa black alijitahidi sana hadi akafunga goal la ushindi wakati Portugal wanachukua Euro lakini hakuonekana kabisa
 
Mapumbavu na malofa yanajadili upupu tu. Cr7 ndo ameshabeba mishoga nyie.
 
Back
Top Bottom