Ballon d'Or 2015 ni Messi,Neymar au Cristiano?

...wacha mbwembwe wewe, magoli yakupasia nyavu siku hizi hayauzi gazeti....
nenda kawaulize bayern, Messi aliwafunga goli gani!!!

Kabla ya kuongea utumbo, nenda Google jaribu kuangalia What's Ballon D'Or? Vigezo gani vinatumika kupata candidates wa Ballon D'Or? Je magoli ya kupasia nyavu hayahesabiki kwenye Ballon D'Or? Hizo habari za kuuza gazeti kaongee na wauza magazeti wenzio.
 

Punguza jazba Tuzo ni ya King Messi
 

...mama uko kwenye hedhi au?!
 

Christiano In His Worst Year! #AmazingStats



...tuzo ya mpasia nyavu bora amepewa huyo, ila tuzo ya mshambuliaji bora kapewa Messi, kama una akili timamu lazima ujiulize sababu, hapo ndipo utapojua Messi ana mautundu zaidi ya huyo mpasia nyavu.
 
Mimi ni mshabiki hazard tu lkn angalizo messi mwaka wake huu wa kuweka record asipo chukua ntalia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…