CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
- Thread starter
-
- #121
Messi anabebwa na team achievements
Lakin kwa individual performance Ronaldo amekuwa na mwaka mzuri zaid
*Europe top scorer
*La liga top scorer
*UEFA all time top scorer
*Real Madrid all time top scorer
*Most la liga hat tricks
Umendika kishabiki zaidi,
Sasa hiyo team achievement inaletwa na nani?
40 goals in 52 appearances 21 assists
0 penalty kicks
With country 0 goals 0 assists 0 appearances
Suarez
48 goals in 47 appearances 14 assists
9 penalty kicks
With country 3 goals 0 assists 5 appearances
Ronaldo
team work
Hapa unajadili watu tena wachezaji wa njeFIFA imetangaza majina matatu yaliyopitishwa katika kugombea Ballon d'Or 2015
Ni Messi,Neymar na Cristiano,
Wakuu tuchangie hapa,wewe unahisi ni nani anastaili kutwaa hiyo tuzo?
This is not something to let...just because you are tired of those two guys!!So what to do..if they are still the BEST?We are tired with this two guy's let chance be to Suarez