CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
- Thread starter
- #121
Messi anabebwa na team achievements
Lakin kwa individual performance Ronaldo amekuwa na mwaka mzuri zaid
*Europe top scorer
*La liga top scorer
*UEFA all time top scorer
*Real Madrid all time top scorer
*Most la liga hat tricks
Umendika kishabiki zaidi,
Sasa hiyo team achievement inaletwa na nani?