Ballon d'Or 2015 ni Messi,Neymar au Cristiano?

Ballon d'Or 2015 ni Messi,Neymar au Cristiano?

Messi anabebwa na team achievements
Lakin kwa individual performance Ronaldo amekuwa na mwaka mzuri zaid

*Europe top scorer
*La liga top scorer
*UEFA all time top scorer
*Real Madrid all time top scorer
*Most la liga hat tricks

Umendika kishabiki zaidi,
Sasa hiyo team achievement inaletwa na nani?
 
40 goals in 52 appearances 21 assists
0 penalty kicks
With country 0 goals 0 assists 0 appearances
Suarez

48 goals in 47 appearances 14 assists
9 penalty kicks
With country 3 goals 0 assists 5 appearances
Ronaldo

Umeelewaka mkuu..hapo hakuna swalii....watu waache kelele
 
FIFA imetangaza majina matatu yaliyopitishwa katika kugombea Ballon d'Or 2015
Ni Messi,Neymar na Cristiano,

Wakuu tuchangie hapa,wewe unahisi ni nani anastaili kutwaa hiyo tuzo?
Hapa unajadili watu tena wachezaji wa nje
 
Suarez deserves this trophy tatizo ni battle ya Nike na Adidas
Imekuwa tuzo ya biashara zaidi kuliko mafanikio.
Inabidi FIFA waseme je hii tuzo ni ya mafanikio au Individula skillz...?? Tukishalikua hilo nadhani hatutaleta maswali mengi.
 
Back
Top Bottom