Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

Game ya atletico uliicheki kamanda?All years Cholo ametumia kila aina ya mbinu ili kumzuia but hazuiliki..kashindikana huyu kiumbe! Dah akistaafu tutapata shida sanaa...Mkuu sikufichi siku asipocheza na mimi siangalii game..
Akistaafu nitalia kwa mara ya kwanza tangu nianze kufuatilia football
 
Hio uefa si ndo kina origi na mane pamojana kipa wao ndo walitia chachu

Bora ungenambia mchezaji kama bernando

Ana EPL
FA
CAPITAL
UEFA NATIONS

Sio takataka VVD

Kwangu mm huyo asingenusa hata top 3
huna akili wewe

mchezaji bora wa EPL unamjua??

mchezaji bora wa UEFA unamjua??
 
Hapo ni ANA IMPACT au HANA IMPACT?
 
2010 mess hakufika Final UCL ila mbona Alipata tuzo ya mchezaji bora wa UEFA??
 
Yani vvd kapaishwa na mashabiki wa penaldo...hata wakiandaa tuzo duniani kumshindanisha messi na msuva unaweza kushangaa msuva akashinda au messi akamzidi msuva kwa point 7...iko hivo na wanaolalamika saivi eti vvd alistahili ni mashabiki wa penaldo
 
Siku zote tunawaambia huyu CR anavizia vizia ndani ya 18 anasubiri cross za akina Ramos hamkuelewa.


Sasa timu aliohamia inataka individual skills za kucheza na kutengeneza mabao, assist na kufunga. Ndio sifa za wenzake aliokutana nao pale kwenye Tuzo. ana sifa ya uchoyo wa kutoa killer passes, sifa mbaya ambazo wenzake kwenye tuzo hawana.
Walivyo mchonga sanamu yake nadhani kichwani alianza kujiona GOD.
zile hat tricks za kila wiki zimepotelea
wapi, umeona eeeehhh,

Sasa hivi anasubiri aibu tu sababu kutolewa uwanjani hataki
 
Hiyo individual performance ndio mmeijua leo Mwaka 2012 Messi alikuwa na Individual Perfomance bora kumshinda Iniesta au alikuwa na Makombe mengi na Perfomance bora kumshinda Xavi mbona alishinda yeye why leo kwa VVD ndio muangalie Individual performance.
 
Rudi tena fikiria ulichoandika. Je huo mwaka nani alichukua?
 
The Goat havizii vizii. CR angebaki RM angebeba alikoenda ndio mwisho wake umeanza ila yeye maandishi kwenye ubao hayaoini
 
Rudi tena fikiria ulichoandika. Je huo mwaka nani alichukua?
Nifikirie nini sasa? Umesema nikuletee statistics ndio nikasema Mwaka 2012 Messi alikuwa na Stations gani au Individual Perfomance ipi kumshinda Iniesta lakini mbona alishinda yeye Messi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…