Watu wengine ni nafasi mkuu ndio maana, huwezi uka judge direct, kua Edo ni nani,, yule Gelard kapata nafasi ya kufahamika kwa sababu alipata nafasi ya kucheza mpira, lakini Edo kazaliwa kibongo bongo kakulia kwenye hizi system zetu za kawaida elimu kwanza.
Labda nikuulize hivi, kwani duniani hakuna wachezaji wakubwa wenye majina yao wanaomkubali Cr7? Au hadi wawape watoto wao majina ya Cr7 ndio nao tuwatumie kama reference?
Mbappe humwambii kitu juu ya Cr7,, je Mbappe sio mchezaji mzuri level za kina Neymar? pengine umri ukisogea atakua juu zaidi ya Gelard,, je nae mpaka apate mtoto ampe jina la Cr7 ndio na sisi tuje tutambe hapa?
Come on mkuu hizo individual interest za watu personal hazina mashiko katika kuwa judge hawa watu wawili na wachezaji wengine kiujumla
Mfano Blatter raisi wa zamani wa Fifa alikua shabiki wa Messi kindaki ndaki alidiriki mpaka kumuita Cr7 mpaka poda, muda wote anashinda kwenye vioo,, je kisa Blatter alikua raisi wa fifa na alisema hayo maneno ndio tutumie kama kigezo kumkweza Messi? Eti kisa Blatter ni raisi wa fifa na anaujua mchezo wa mpira wa miguu