Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

The Goat havizii vizii. CR angebaki RM angebeba alikoenda ndio mwisho wake umeanza ila yeye maandishi kwenye ubao hayaoini
Ukweli mtupu pale madrid alikia anapikiwa timu nzima ilikua inamtii yeye lakini pale Juve kila mtu anataka kuwa star huwez fananisha wale kina kheidira, pjanic na kina kroos, Modrich nk
 
Watu wengine ni nafasi mkuu ndio maana, huwezi uka judge direct, kua Edo ni nani,, yule Gelard kapata nafasi ya kufahamika kwa sababu alipata nafasi ya kucheza mpira, lakini Edo kazaliwa kibongo bongo kakulia kwenye hizi system zetu za kawaida elimu kwanza.

Labda nikuulize hivi, kwani duniani hakuna wachezaji wakubwa wenye majina yao wanaomkubali Cr7? Au hadi wawape watoto wao majina ya Cr7 ndio nao tuwatumie kama reference?

Mbappe humwambii kitu juu ya Cr7,, je Mbappe sio mchezaji mzuri level za kina Neymar? pengine umri ukisogea atakua juu zaidi ya Gelard,, je nae mpaka apate mtoto ampe jina la Cr7 ndio na sisi tuje tutambe hapa?

Come on mkuu hizo individual interest za watu personal hazina mashiko katika kuwa judge hawa watu wawili na wachezaji wengine kiujumla

Mfano Blatter raisi wa zamani wa Fifa alikua shabiki wa Messi kindaki ndaki alidiriki mpaka kumuita Cr7 mpaka poda, muda wote anashinda kwenye vioo,, je kisa Blatter alikua raisi wa fifa na alisema hayo maneno ndio tutumie kama kigezo kumkweza Messi? Eti kisa Blatter ni raisi wa fifa na anaujua mchezo wa mpira wa miguu
Mbona unalialia!! Kwan umejipangaje?!
 
Hahahahahahaha !!!! Kaz kwl kwl Yani nazungumzia uwezo wa MCHEZAJI u aleta ubora wa ligi and finally hyo ligi unayozungumzia Ronaldo keshafanya yake na akiwa hapohapo kabeba tuzo ya mchezaji Bora wa dunia Mara 4 so hoja ni changamoto ya ligi tafautitofauti na cyo ubora wa ligi mzee usijitoe uafahamu hapo Messi ahame aende timu kubwa nyingine tuone uwezo wake ,,kumbuka hizo tuzo za ndani unazozisemea Messi / andunje kachukua akiwa na timu moja tu wakati mwenzie kadhihirisha hayo akiwa katika ligi tofautitofauti ,,
Hahhaha sasa hizo tuzo za ndani ya league kuanzia za ufungaji bora..mpaka mchezaji bora wa mwaka messi si'ndio anazo mpaka basi...au unajitoa ufahamu na kujifanya haujui """

Mimi sileti mahaba bali nazungumza fact.....gerald ni mtu mwenye experience ya mpira kuliko mimi na wewe so akizungumza jambo/tenda jambo kuhusu mpira litapewa kipaumbele kuliko mimi nawewe ambao hatujawahi kucheza hata league daraja la pili hapa chini...so kwa mantick hiyo mahaba yanatoka wapi ?....

Kuhusu suala la kufanikiwa katika league tofauti hilo halina tija kabisa ''spain ni 1 ya league bora duniani imewahi kushika nafasi ya league bora duniani takribani miaka 10 mfululizo kabla ya kudrop msimu uliopita ''nakuwa league namba 2 nyuma ya epl...team anayo chezea messi ni team namba 2 kwa ukubwa duniani ikiwa nyuma ya real madrid...(na maanisha ni team kubwa kiushawishi na kiuwezo performance) referance ni tuzo za mchezaji bora ambazo barca wanazo"

So wewe ulitaka messi ahame aache kuichezea club ya hadhi yake kisha aende kwenye club au league ambazo hazina hadhi yake kwa wakati huo.....messi ni mchezaji anaye stahiki kuzichezea club 2 tu duniani..real madrid na Barcelona zaidi ya hapo itakuwa ni kuto mtendea haki
 
Huhuuuu words
Mwaka 2013 wakati Bayern Munich wanachukua Uefa huku Frank Ribery akiwa wa moto mbona tuzo alibeba ronaldo vip naye alichukua kwa kigezo kipi acha kua na chuki kwa Messi, Ronado kaenda Juve hamna maajabu aliyofanya hata iyo tuzo alizopewa jana Italia watu wanashangaa mtu anapewa tuzo ya mchezaji bora wakati kuna waluomzidi magoli na wanatoka timu ndogo pale Serie A
 
Well said
Mkuu ngoja niku challenge kidogo, mbali na Gerald mchezaji gani mwingine aliyefanya hivyo kwa huyo huyo Messi?
Hayo ni mapenzi tu ya mtu individual they got nothing to do with Cr7 or any other footballer.

Kibongo bongo Edo Kumwembe anamkubali sana Buffon mpaka kuna mtoto wake mmoja kampa jina la
Gianluigi Je Edo nae angekua mchezaji tena kariba ya Gelard ndio tungetumia hicho kigezo kuwa underestimate magoli kipa wengine bila kuangalia uwezo wao uwanjani eti kisa fulani kasema?

Binafsi mimi Ballon D'ior hii sisikitiki Cr7 kutoichukukua ila nasikitika why Vvd aikose wakati vigezo vilivyompa Modric Ballon D'ior iliyopita vipo karibu kulingana na alivyokua navyo Vvd katika hii ya sasa hivi.. Ukiweka ushabiki pembeni na ukachunguza kwa makini utagundua kua kuna walakini fulani... Au labda kila Ballon D'ior hua inakua na vigezo vipya tuambizane
 
Team panadol wanapinga LM10 kuchukua tuzo, kwa kuwa mchezaji wao hana uwezo tena walitamani apewe hata kagere Ila tu asiwe messi. Na wangefurahi mno sio kwa kuwa kagere kachukua bali kwa kuwa messi amekosa. Ila Mungu kasema hapana.
 
Sijapinga kuwa hakuna watu wanaomkubali cr7.... lakini ukiona kuna mtu anakubalika katika tasnia fulani mpaka ana tengenezewa obelski na watu waliopo katika tasnia hiyo...hiyo ni ishara kwamba mtu huyo amefikia level ya kufanya vizuri sana zaidi ya wengine..... ni kama umavyo ona basketball na Michael Jordan..mziki kwa ujumla wake na Michael Jackson..Hip hop na 2pac...langa langa na schmeichel Science na Albert Einstein"....

Kitendo cha wachezaji zaidi ya 1 kuwapatia watoto wao jina la messi ni Ishara kwamba messi ni mchezaji ambaye anafanya vyema katika tasnia hiyo kuliko nchezaji mwingine yeyote yule...... kwanini wasiwape watoto wao Jina la cr7..thiery henry .ronaldo de lima..gaucho etc na ikawa,kwa messi

Hivi unaelewa vyema mantiki ya kuwa insipiration katika jamii yako -kama unelewa basi kwa vigezo hivyo tajwa hapo juu messu ndiye true of insipiration yenyewe katika football
Watu wengine ni nafasi mkuu ndio maana, huwezi uka judge direct, kua Edo ni nani,, yule Gelard kapata nafasi ya kufahamika kwa sababu alipata nafasi ya kucheza mpira, lakini Edo kazaliwa kibongo bongo kakulia kwenye hizi system zetu za kawaida elimu kwanza.

Labda nikuulize hivi, kwani duniani hakuna wachezaji wakubwa wenye majina yao wanaomkubali Cr7? Au hadi wawape watoto wao majina ya Cr7 ndio nao tuwatumie kama reference?

Mbappe humwambii kitu juu ya Cr7,, je Mbappe sio mchezaji mzuri level za kina Neymar? pengine umri ukisogea atakua juu zaidi ya Gelard,, je nae mpaka apate mtoto ampe jina la Cr7 ndio na sisi tuje tutambe hapa?

Come on mkuu hizo individual interest za watu personal hazina mashiko katika kuwa judge hawa watu wawili na wachezaji wengine kiujumla

Mfano Blatter raisi wa zamani wa Fifa alikua shabiki wa Messi kindaki ndaki alidiriki mpaka kumuita Cr7 mpaka poda, muda wote anashinda kwenye vioo,, je kisa Blatter alikua raisi wa fifa na alisema hayo maneno ndio tutumie kama kigezo kumkweza Messi? Eti kisa Blatter ni raisi wa fifa na anaujua mchezo wa mpira wa miguu
 
Mwaka 2013 wakati Bayern Munich wanachukua Uefa huku Frank Ribery akiwa wa moto mbona tuzo alibeba ronaldo vip naye alichukua kwa kigezo kipi acha kua na chuki kwa Messi, Ronado kaenda Juve hamna maajabu aliyofanya hata iyo tuzo alizopewa jana Italia watu wanashangaa mtu anapewa tuzo ya mchezaji bora wakati kuna waluomzidi magoli na wanatoka timu ndogo pale Serie A
Sina chuki na Messi na nimchukie ili iweje ninachokwambia ni kwamba hizi Award haina vigezo kwa Mshindi wanaopiga kura wanapiga kwa mapenzi yao binafsi kwa mchezaji hawaangalii chochote ...........Acha kudanganya watu kuwa Individual Perfomance ndio kigezo kilichomfanya Messi kushinda huo ni uongo,
 
Hahaaa team cr7 mna shida sana...kwani si hata modrick amechukua tuzo akiwa laliga au ?!!......

Lengo langu lilikuwa ni kumjibu jamaa ili aweze kufahamu kuwa messi hawezi kuhama team na kwenda,katika team/keague ambazo sio hadhi yake. ......

So unataka messi ahame barca team ambayo ina hadhi,kubwa duniani kwa sasa team ambayo haichezi mbali na unyakuaji vikombe then akacheze wapi !!???
Hahahahahahaha !!!! Kaz kwl kwl Yani nazungumzia uwezo wa MCHEZAJI u aleta ubora wa ligi and finally hyo ligi unayozungumzia Ronaldo keshafanya yake na akiwa hapohapo kabeba tuzo ya mchezaji Bora wa dunia Mara 4 so hoja ni changamoto ya ligi tafautitofauti na cyo ubora wa ligi mzee usijitoe uafahamu hapo Messi ahame aende timu kubwa nyingine tuone uwezo wake ,,kumbuka hizo tuzo za ndani unazozisemea Messi / andunje kachukua akiwa na timu moja tu wakati mwenzie kadhihirisha hayo akiwa katika ligi tofautitofauti ,,
 
Sijapinga kuwa hakuna watu wanaomkubali cr7.... lakini ukiona kuna mtu anakubalika katika tasnia fulani mpaka ana tengenezewa obelski na watu waliopo katika tasnia hiyo...hiyo ni ishara kwamba mtu huyo amefikia level ya kufanya vizuri sana zaidi ya wengine..... ni kama umavyo ona basketball na Michael Jordan..mziki kwa ujumla wake na Michael Jackson..Hip hop na 2pac...langa langa na schmeichel Science na Albert Einstein"....

Kitendo cha wachezaji zaidi ya 1 kuwapatia watoto wao jina la messi ni Ishara kwamba messi ni mchezaji ambaye anafanya vyema katika tasnia hiyo kuliko nchezaji mwingine yeyote yule...... kwanini wasiwape watoto wao Jina la cr7..thiery henry .ronaldo de lima..gaucho etc na ikawa,kwa messi

Hivi unaelewa vyema mantiki ya kuwa insipiration katika jamii yako -kama unelewa basi kwa vigezo hivyo tajwa hapo juu messu ndiye true of insipiration yenyewe katika football
[emoji23] Kwani wakati Cr7 anachukua hizo ballon d'ior 5 huyo true inspiration alikua wapi? Kama Messi mnamuona ndio kila kitu kwenye mpira basi kwa kua Ronaldo kaweza ku mchallenge basi andunje hana jipya tena angekua anashinda yeye kila mwaka mfululizo bila kuachia
 
Hahaaa jamaa ame flop Vibaya sana...daahh!!! Ushindani aliokuwa anauleta umetoweka...amebaki LM10 peke yake..... always kitu bandia hakiwezi kushindana na kitu halisi.....

Kuna msemo unasema _Uongo huwa unapanda lift ..ukweli huwa unapanda Ngazi licha ya Uongo kutangulia kufika.. lakini wakati ukifika uongo hujitenga na ukweli hudhihirika
Team panadol wanapinga LM10 kuchukua tuzo, kwa kuwa mchezaji wao hana uwezo tena walitamani apewe hata kagere Ila tu asiwe messi. Na wangefurahi mno sio kwa kuwa kagere kachukua bali kwa kuwa messi amekosa. Ila Mungu kasema hapana.
 
Vvd hakuwa na sifa za mchezaji mwenye mafanikio binafsi kama messi ...mkuu
Yani Vvd ni beki halafu unataka tumshindanishe magoli na assist na Messi? Embu acheni Masihara basi, kwani wakati Modric anachukua Ballon d'ior Ronaldo hakua anamzidi Modric magoli? Kwenye ligi na uefa? pengine hata assist alikua anamzidi sasa why kigezo hicho mkiongelee sasa hivi
 
Kum-challange then still uliye kuwa una mchallange amebaki kuwa namba1

Hivi kama ingekuwa ni vita sasa hivi nani ni mshindi ''
Messi yupo mbele kwa kila kitu kuanzia mshahara anaolipwa thamani aliyonayo katika kuuzwa mpaka Tuzo....huhuuu huuu huuu huuu
[emoji23] Kwani wakati Cr7 anachukua hizo ballon d'ior 5 huyo true inspiration alikua wapi? Kama Messi mnamuona ndio kila kitu kwenye mpira basi kwa kua Ronaldo kaweza ku mchallenge basi andunje hana jipya tena angekua anashinda yeye kila mwaka mfululizo bila kuachia
 
Inatakiwa ulete fact usiseme pengine unaanzaje kuleta nadharia katika vitu serious aise
Yani Vvd ni beki halafu unataka tumshindanishe magoli na assist na Messi? Embu acheni Masihara basi, kwani wakati Modric anachukua Ballon d'ior Ronaldo hakua anamzidi Modric magoli? Kwenye ligi na uefa? pengine hata assist alikua anamzidi sasa why kigezo hicho mkiongelee sasa hivi
 
Hahahahahahaha !!!! Kaz kwl kwl Yani nazungumzia uwezo wa MCHEZAJI u aleta ubora wa ligi and finally hyo ligi unayozungumzia Ronaldo keshafanya yake na akiwa hapohapo kabeba tuzo ya mchezaji Bora wa dunia Mara 4 so hoja ni changamoto ya ligi tafautitofauti na cyo ubora wa ligi mzee usijitoe uafahamu hapo Messi ahame aende timu kubwa nyingine tuone uwezo wake ,,kumbuka hizo tuzo za ndani unazozisemea Messi / andunje kachukua akiwa na timu moja tu wakati mwenzie kadhihirisha hayo akiwa katika ligi tofautitofauti ,,
[emoji122] You have a point, ubora wa barca anayoisema now sijui kaupimia kwa kigezo kipi mpaka Messi akose timu ya kucheza nje ya barca [emoji16][emoji16][emoji23]
 
Back
Top Bottom