Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,274
- 12,244
2010 Messi alikuwa na mafanikio binafsi kumshinda Sneijder au IniestaVvd hakuwa na sifa za mchezaji mwenye mafanikio binafsi kama messi ...mkuu
2012 alikuwa na mafanikio binafsi kumshinda Iniesta
2013 Ronaldo alimshinda nini Ribery
Hizi Award ni Politics hakuna jipya zaidi ya ku penna tu kama maandazi.