PICHA ILEHamna kitu hapo hayo ni mawazo ya watu kama wewe kumbeba CR7. Jamaa yenu kazira mpaka kuja kwenye TUZO wakati yeye anachukua mbona wenzake walikuwa wanakuja. Sasa hivi atashangaa hata mechi anaingia kipindi cha pili. miezi miwili hajafunga goli juzi kati ndio kasawazisha goli 1 toka oktoba hajafunga wewe unaleta ngonjera za zamani.Kama hujapendezwa na hiyo tuzo kakate rufaa...
Yaani miezi miwili anapangwa anakimbia kimbia tu uwanjani. Hayo magoli unayoweka hapo shukrani cross na akina pepe. Ndio hat tricks kibao. Sasa hivi hat tricks labda na timu yake ya portugal.