Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

Acha wenge wewe, balloon d'or ya kwanza kapewa tayari akiwa kashatua Madrid. Ingawa msimu wa nyuma yake alikuwa man u, na asingetua Madrid wasingempa. Kumbuka Madrid walimsajili ronaldo kabla ya tuzo haijatoka. Au mfano mwaka huu tuzo wangempa hazard wa Madrid ingawa mpira wa msimu uliopita kauchezea Chelsea. Kwa hiyo ronaldo alipewa tuzo akiwa mchezaji wa madrid
[emoji23] Mkuu Ronaldo kachukua Ballon d'or yake ya kwanza na Manchester united mwaka 2008, then mwaka 2009 ndio akaenda Madrid,, au mwenzetu unamuongelea Ronaldo mwingine, mimi namuongelea Cristiano Ronaldo sijui wewe mwenzangu unamuongelea Ronaldo yupi
IMG_20191203_175305.jpeg
IMG_20191203_175336.jpeg
IMG_20191203_175204.jpeg
IMG_20191203_175237.jpeg
 
Akili yao imeganda hizo ligi mabigwa wao ligi wao hukutana UCL ambapo Mesi ndo anawatungua
Tatizo hutaki kuelewa ,,unawezaje kumfananisha mtu aliyedhihirisha ubora wake kwa ligi tofauti tofauti na mtu aliyesalia ligi moja tu na kuonyesha uwezo wake huohuo tu
Andunje ahame timu tuone uwezo wake katika changamoto za ligi nyingine na cyo kukaaa timu moja tu ambayo falsafa yake ni ileile ,watu wlewale n.k
 
Messi/ andunje nahame timu ili tudhihirishe ubora na uwezo wake laasivyo msithubutu kumfananisha Cr7 na andunje katika Levi ya kudhihirisha uwezo na ubora ,
# andunje ahame timu tuone ubora wake na uwezo # Kama RONALDO alivyofanya ,,aende hata Liverpool pale tumuone
Njoo na takwim mkuu sio porojo
Screenshot_20191203-180227~2.jpeg
 
Akili yao imeganda hizo ligi mabigwa wao ligi wao hukutana UCL ambapo Mesi ndo anawatungua

Huyu hajui Mpira anakuumiza Tu kichwa mimi nimeshawahi kuwauliza hao wenye mahaba pasipo kuangalia Mpira mechi walizo kutana head to head kati ya Ronaldo na Messi nani alikuwa na hali mbaya hawawezi kukujibu swali hilo

Pili Messi ni Both play maker na Goal Scorer a Great goal scorer lakini Ronaldo ni Great goal scorer that’s makes the huge difference between them

Muulize huyo Mdau anaelewa maana ya play maker? Malumbano ya hoja ukikutanisha na malumbano ya mahaba huwezi kupata kitu
 
Mkuu naona unanipotezea muda wangu bure nimeshasema hapo sina maana kua Messi ni mbovu, hoja hapa ilikua ni mchezaji gani anayecheza kwa kuzungukwa kati ya Ronaldo na Messi na wala sio kumfananisha Ibrahimovich na Messi,,

Ebu soma hapo juu unielewe vizuri kuna sehemu nimesema Messi alikua mbovu?, nimesema Iniesta na Xavi walikua wanamrahisishia kazi uwanjani tofauti na sasa hivi na ndio maana hata sasa hivi barcelona ina struggle tofauti na ile ya kina Xavi na Iniesta, japo Messi bado ana shine ila ni kwa ku struggle tofauti na awali (kumbuka hapa hoja ilikua ni nani anaecheza kwa kuzungukwa)

Afu mkuu wewe ni moja kati ya watu ninaowaheshimu sana humu jf so tuwekeane heshima yetu issue za kuanza mambo ya nimerogwa it's sound like insult to me cause hunifahamu wala sikufahamu

Messi is a play maker he doesn’t rely on other players he make the play. and he is greater goal scorer as CR7

This is the only difference that puts Messi on Top of CR7
 
Huyu hajui Mpira anakuumiza Tu kichwa mimi nimeshawahi kuwauliza hao wenye mahaba pasipo kuangalia Mpira mechi walizo kutana head to head kati ya Ronaldo na Messi nani alikuwa na hali mbaya hawawezi kukujibu swali hilo

Pili Messi ni Both play maker na Goal Scorer a Great goal scorer lakini Ronaldo ni Great goal scorer that’s makes the huge difference between them

Muulize huyo Mdau anaelewa maana ya play maker? Malumbano ya hoja ukikutanisha na malumbano ya mahaba huwezi kupata kitu
Usiulize maswali njoo na hoja yako ielezee watu waku challenge masuala ya kusema watu hawajui mpira wewe unaejua si ungekua hata mshauri wa benchi la ufundi twiga stars, yeye jamaa kaleta hoja yake kua Cr7 kathibitisha ubora wake katika ligi kubwa 3 tofauti na Messi sasa mtu kusema hio hoja ndio umwambie hajui mpira acheni mambo ya kujikuta nyie ndio kila kitu
 
Messi is a play maker he doesn’t rely on other players he make the play. and he is greater goal scorer as CR7

This is the only difference that puts Messi on Top of CR7
Ukiwauliza watu wengi tofauti ya Cr7 na Messi hua wamasema Cr7 ni hard work while Messi ni natural talent
Hoja hii kwangu hua haina mashiko kwa sababu kama mtu ambaye hana kipaji ila ni (hard worker) ameweza kumpa changamoto kubwa mtu mwenye kipaji why huyo hard worker asipewe heshima yake anayostahili

Na why wachezaji wengine wasiwe ma hard work kama Cr7 nao wakafikia hata robo tu ya mafanikio yake.
 
Mkuu nadhani wewe utakua mtu wa mwisho kumjibu katika huu uzi kwa sababu hautafika muafaka kila mtu atabaki anaombea chungu chake (kila muomba mboga huombea chungu chake)

Unavyosema Messi doesn't rely on other player kwani Cr7 ana mtegemea mchezaji gani ili a perform, mtu kacheza ligi kubwa tatu duniani England, Spain, Italy kwenye timu ya taifa hakuna mastaa wakubwa kama Argentina lakini bado kang'aa leo hii uje uniambie eti huyu Cr7 ana rely to someone that why ana perform aiseh... Mbona nakushangaa sana bora nibaki na ninachokiamini hata kama mtaita mahaba ya mtu

Mnataka Cr7 afanye kitu gani tena
 
Usiulize maswali njoo na hoja yako ielezee watu waku challenge masuala ya kusema watu hawajui mpira wewe unaejua si ungekua hata mshauri wa benchi la ufundi twiga stars, yeye jamaa kaleta hoja yake kua Cr7 kathibitisha ubora wake katika ligi kubwa 3 tofauti na Messi sasa mtu kusema hio hoja ndio umwambie hajui mpira acheni mambo ya kujikuta nyie ndio kila kitu

Maana ya player nafikiri wewe Mkuu wangu unaifahamu sina sababu ya kukuelezea na labda niweke sawa tu hoja yako ya kuhama timu, unafikiri ni sababu zipi zinawafanya wachezaji wakaacha timu zao na kwenda kwingine ni kati ya hizi zifuatazo

1. Pesa mchezaji anaweza shawishika na pesa
2. Ubora wa timu
3. Mapenzi na timu husika japo hii ni rarely case

Sasa huyu Messi kwanini aondoke kwenye timu bora na wakati huo huo inampa mshahara mkubwa, nafikiri kitakwimu ndiye mchezaji anayelipwa pesa nyingi kwa sasa ulimwenguni,

Kwahiyo case ya Messi kuhama kutoka Barcelona na kwenda vilabu vingine ni kama/ mtu awe anaishi Masaki hapa kibongo bongo then umwambie aende kuishi Tandale uswahilini
 
Ukiwauliza watu wengi tofauti ya Cr7 na Messi hua wamasema Cr7 ni hard work while Messi ni natural talent
Hoja hii kwangu hua haina mashiko kwa sababu kama mtu ambaye hana kipaji ila ni (hard worker) ameweza kumpa changamoto kubwa mtu mwenye kipaji why huyo hard worker asipewe heshima yake anayostahili

Na why wachezaji wengine wasiwe ma hard work kama Cr7 nao wakafikia hata robo tu ya mafanikio yake.

Play maker
He can assist
He can creat chances
He can dribble
He can build up the play
Hayo mambo hapo juu CR7 hana au hata akiwa nayo basi ni machache kati ya hayo na hawezi mfikia Messi kitakwimu kwa kuyafanya, wakati huo huo hawa watu wawili wote ni wafungaji wazuri lakini unaona baadaye kidogo tu namba zitamuacha Ronaldo kwa sababu nyingi tu.

Point yako ni ya Msingi CR7 amepambana sana kushindana na Messi namkubali ni mpambanaji lakini ki uwezo hawezi kumfikia Messi
 
Maana ya player nafikiri wewe Mkuu wangu unaifahamu sina sababu ya kukuelezea na labda niweke sawa tu hoja yako ya kuhama timu, unafikiri ni sababu zipi zinawafanya wachezaji wakaacha timu zao na kwenda kwingine ni kati ya hizi zifuatazo

1. Pesa mchezaji anaweza shawishika na pesa
2. Ubora wa timu
3. Mapenzi na timu husika japo hii ni rarely case

Sasa huyu Messi kwanini aondoke kwenye timu bora na wakati huo huo inampa mshahara mkubwa, nafikiri kitakwimu ndiye mchezaji anayelipwa pesa nyingi kwa sasa ulimwenguni,

Kwahiyo case ya Messi kuhama kutoka Barcelona na kwenda vilabu vingine ni kama/ mtu awe anaishi Masaki hapa kibongo bongo then umwambie aende kuishi Tandale uswahilini
Japo hoja ya Cr7 kucheza ligi 3 sikuitoa mimi ila watu tunataka hoja kama hivi, mkuu toka nimeanza kupeana challenge na timu Messi wewe ndio mtu wa kwanza na like comment yako kwa sababu the way ulivyojibu inaonyesha kabisa kua una point mkuu, umejibu vizuri sana na hio inaweza kua sababu lakini kwa mtazamo wako unadhani hakuna timu inayoweza kumlipa Messi tofauti na barca, na je unadhani kama Messi akitoka barca akaenda ligi nyingine ata pefrom katika ule ule ubora wake?
 
Mkuu nadhani wewe utakua mtu wa mwisho kumjibu katika huu uzi kwa sababu hautafika muafaka kila mtu atabaki anaombea chungu chake (kila muomba mboga huombea chungu chake)

Unavyosema Messi doesn't rely on other player kwani Cr7 ana mtegemea mchezaji gani ili a perform, mtu kacheza ligi kubwa tatu duniani England, Spain, Italy kwenye timu ya taifa hakuna mastaa wakubwa kama Argentina lakini bado kang'aa leo hii uje uniambie eti huyu Cr7 ana rely to someone that why ana perform aiseh... Mbona nakushangaa sana bora nibaki na ninachokiamini hata kama mtaita mahaba ya mtu

Mnataka Cr7 afanye kitu gani tena

Chief mbona nimetoa maelezo vizuri tu hapo juu mimi sina upande wowote na wala sina mahaba ni Mpenzi wa Mpira tu, na namkubali sana CR7 sababu ni kijana wetu pale Man United lakini kiuwezo wa Mpira hawezi kumfikia Messi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Japo hoja ya Cr7 kucheza ligi 3 sikuitoa mimi ila watu tunataka hoja kama hivi, mkuu toka nimeanza kupeana challenge na timu Messi wewe ndio mtu wa kwanza na like comment yako kwa sababu the way ulivyojibu inaonyesha kabisa kua una point mkuu, umejibu vizuri sana na hio inaweza kua sababu lakini kwa mtazamo wako unadhani hakuna timu inayoweza kumlipa Messi tofauti na barca, na je unadhani kama Messi akitoka barca akaenda ligi nyingine ata pefrom katika ule ule ubora wake?

Kuhusu Malipo yes zipo timu nyingi tu ambazo zinaweza kumpa huo Mshahara lakini, hawa wachezaji pia wanasehemu zao wanazo zipenda na kuhisi wakiwa huko wanapata Furaha japo hii inaweza isiwe sababu ya msingi sana

Maana kama utakuwa mfatiliaji utakuwa unakumbuka Manchester city waliwahi kutaka msajili Messi na kumpa mshahara mkubwa hata kuliko aliyokuwepo nao sasa lakini wakati huo league ya Uingereza haikuwa league Bora kuliko Spain. Kwasasa EPL iko powa maybe anaweza kwenda huko na tukashuhudia

Kuhusu ku perform inategemea na sababu kadhaa kadhaa kama timu atakayo kwenda itatengeneza Mfumo kupitia kwake basi ata perform kwa kiwango cha juu japo umri nao ndiyo huo,

Sababu lazima tukubali at some point kwenye haya mambo ya athletics na mengineyo kuna watu flani ni bora zaidi ya wengine, hawa si Average kwa Mfano kinachotokea Juve wachezaji wanao mzunguka CR7 kama hawakubali kwamba yeye amewazidi hawatengenezi Mfumo kupitia yeye kama ilivyo kuwa kwa Madrid hii inamfanya apate wakati Mgumu despite na ubora wake na kupambana kwake

Kwa mantiki hiyo basi ili Messi awe ana offer same qualities anazo offer lazima mtengeneze Mfumo kupitia yeye the Same applies kwa CR7
 
Play maker
He can assist
He can creat chances
He can dribble
He can build up the play
Hayo mambo hapo juu CR7 hana au hata akiwa nayo basi ni machache kati ya hayo na hawezi mfikia Messi kitakwimu kwa kuyafanya, wakati huo huo hawa watu wawili wote ni wafungaji wazuri lakini unaona baadaye kidogo tu namba zitamuacha Ronaldo kwa sababu nyingi tu.

Point yako ni ya Msingi CR7 amepambana sana kushindana na Messi namkubali ni mpambanaji lakini ki uwezo hawezi kumfikia Messi
Hapa ndio naposhindwa kuwaelewa uwezo gani huo, ambao Cr7 kashindwa au hawezi kumfikia Messi naomba unieleze labda leo naweza kukuelewa unajua mwanzo wakati anaanza career yake Cr7 alikua mchezaji wa aina hio, ila baada ya kwenda Madrid akabadilika kidogo but he can offer same services as Messi, he can assist, he can create chance, he can dribble labda hapo kwenye ku build up the play Cr7 alibadilika kwa sababu alianza ku base kwenye individual achievment na sababu kubwa Barca ilikua fire imekamilika kila idara uki compare na madrid
 
Acha ujinga ww unafananisha vituvisivyoeleweka hatujakwambia uchambue sababu za kutoka timu moja kwenda nyingine hapa ,tumesema mchezaji adhihirishe ubora wake wa kuweza kumaintain kw zaidi ya ligi moja na club tofautitofauti ,,Sasa ulivyo mtu wa ajabu unaleta sababu za kuhama club zinduka hatupo huko tunataka mtu athibitishe uwezo wake yy c kweli talented atoje Barca aende liver au hata psg tumuone afanye maajabu Kama CR7 tuone hii ndo hoja
Maana ya player nafikiri wewe Mkuu wangu unaifahamu sina sababu ya kukuelezea na labda niweke sawa tu hoja yako ya kuhama timu, unafikiri ni sababu zipi zinawafanya wachezaji wakaacha timu zao na kwenda kwingine ni kati ya hizi zifuatazo

1. Pesa mchezaji anaweza shawishika na pesa
2. Ubora wa timu
3. Mapenzi na timu husika japo hii ni rarely case

Sasa huyu Messi kwanini aondoke kwenye timu bora na wakati huo huo inampa mshahara mkubwa, nafikiri kitakwimu ndiye mchezaji anayelipwa pesa nyingi kwa sasa ulimwenguni,

Kwahiyo case ya Messi kuhama kutoka Barcelona na kwenda vilabu vingine ni kama/ mtu awe anaishi Masaki hapa kibongo bongo then umwambie aende kuishi Tandale uswahilini
 
Chief mbona nimetoa maelezo vizuri tu hapo juu mimi sina upande wowote na wala sina mahaba ni Mpenzi wa Mpira tu, na namkubali sana CR7 sababu ni kijana wetu pale Man United lakini kiuwezo wa Mpira hawezi kumfikia Messi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Basi hii comment sikuiona mimi nime deals na comment nyingi ambazo zime ni quote .. Ila kiuhalisia ni ngumu sana kua mpenzi wa mpira bila kua die hard fan wa mmoja wapo wa hawa watu wawili... Naomba tena uni dadafulie hapo kwenye kiuwezo nashindwa kuelewa umemaanisha nini
 
Mkuu sidhani Kama huu jamaa anaweza kukuelewa kwakweli manake n mnazi wa Messi asiye na strong point n mpiga kelele tu wa andunje

Back
Top Bottom