Mashabiki wa Ronaldo mna makasiriko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndo hvyo I think Argentina watachukua world cup mwakani, then messi Atachukua ya 8 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfe zaiidiiThere are still some living Yams in the name of Messi Fans who base a player on the number of Ballon Dors won.
Xavi and Iniesta played the greatest midfield combo the world has ever seen. But they never won the Ballon Dor.
Then there's the overatted Luka Modric who has a ballon Dor
Now FCB fans, is Modric better than Iniesta? Or Xavi?
Sometimes, you Messi fans should learn to talk like Human Beings
7th Ballon Dor. Bla! Bla! Bla!. I've blocked somemany of them. There're senseless. There's no human being with brain that will.refuse the fact that R. Lewandoski Deserved it.
Only Personal.Non-Gratars will do so!
Ronaldo remains the undisputed [emoji238] GOAT. Long live CR7
Sat Messi?.some mess thing!!!
If Ronaldo has a Million fans, am one of them
If he has one,.then its me
If he has none, consider me dead!!
CR7 , long live the King
Let Ballon Dor, Get away!!!!!!
Shida unaongea bila vigezoo,ukieka vigezo tutakuelewa kwa namna unavosema nikama kuropoka hujuii usemalo Zaid ni ushabiki uchwaraaa.Hapana hii tuzo Lewandosky kanyimwa kibabe alistahili kushinda
Haezi kuwa nazoo uyooo Ni Kama anapayuka bila takwimuWametoa tuzo ta mchezaji bora, sio mfungaji bora. Watu mnakuwa wagumu sana kulielewa hili. Haya leta takwimu za Lwandowsk nje ya magoli[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Lewandowski alistahili msimu uliopita pale zilipofutwa ila kwa msimu huu Messi amestahili zaidiHapana hii tuzo Lewandosky kanyimwa kibabe alistahili kushinda
Trophy ni swala la timu.takwimu zipi ambazo Messi anazo kamshida Lewandosky kama kigezo ni trophy Georgho alistahili
Mimi shida yangu hakuna criteria za wazi kumfanya mtu kusema huyu mshindi nitatoa mifano michache tu. Mchezaji anachaguliwa kwa makombe aliyosaidia team yake kushinda au mfungaji bora au mpiga chenga nyingi sijui ni kitu gani kinaangaliwa. Messi hakuna shaka mchezaji bora kabisa duniani lakini hii haimpi free pass kuwa mshindi lazima kuna vigezo avifikie. Hawa waandaji kuna Mwaka Messi au Ronaldo wakishinda CL utasikia sababu kashinda CL anapewa asiposhinda CL utasikia kashinda na team ya Taifa copa America akikosa huko utasikia kafunga magoal mengi sana akikosa huko atasikia ametoa assist nyingi sana. Lakini kumbuka mwaka jana Chelsea wamechukuwa ubingwa Ngolo Kante mchango wake ulikuwa mkubwa sana kawekwa pembeni wamerukia Messi kashinda Copa America wakati hawajawahi kuheshimu Copa America. Lewandoski kafunga sana wameleta assist nyingi na C.America. Kwa hivi vigezo wanavyotaka kutumia ina maana hakuna midfilder wala beki atakuja kushinda mchezaji bora tutakuwa tunachagua mfungaji bora lakini mwaka jana Messi kushindwa kubeba kombe lolote kweye vilabu wameleta Copa America lakini hata Italy wameshinda Euro tena ngumu sana kuliko C. America. Jana wameleta mpya mshambuliaji hatari sasa hakuna kiungo hatari, beki hatari hawa sio wachezaji. Messi anajuwa sana mpira ila vigezo vipi kumpa kwa sasa mchango wake kwenye C.league mdogo na kwangu mimi ndio mashindano magumu sana duniani. anyway hakuna la kushangaa hata Bocco alichaguliwa....Hapana hii tuzo Lewandosky kanyimwa kibabe alistahili kushinda
Ikiwa ni hivyo basi Georginho anastahili maana kashinda C. league na Euro na mchango wake ulikuwa mkubwa sana leo Copa America ndio imekuwa kubwa wakati washindi kila mara ni wao Brazil au Argentina kaingia kidogo Chile na Uruguay kidogo.Huwezi kuelewa but wanangalia michezo yote hadi ya timu ya taifa he deserves
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Ungefafanua kidogo Messi anastahili zaidi labda tume miss kitu kwa lipi kubwa anastahili?Lewandowski alistahili msimu uliopita pale zilipofutwa ila kwa msimu huu Messi amestahili zaidi
Mnafahamu Ni watu gani wanapiga Kura kwa mshindi??au mnafikiri anapewa tuUngefafanua kidogo Messi anastahili zaidi labda tume miss kitu kwa lipi kubwa anastahili?
Ungefafanua kidogo Messi anastahili zaidi labda tume miss kitu kwa lipi kubwa anastahili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aliskika shabiki mmoja wa mapenalti