Ballon d'Or 2021: Lionel Messi ashinda tuzo ya saba ya Ballon d'Or ambwaga Lewandowski

Ballon d'Or 2021: Lionel Messi ashinda tuzo ya saba ya Ballon d'Or ambwaga Lewandowski

Niko na mawazo tofauti juu ya hizi tuzo za kila mwaka. Namna mshindi anavyopatikana . Sidhani kama wapiga kura kweli wanaangalia vigezo vya mchezaji katika kuwakilisha klabu au taifa lake. Nahisi wanapelekwa zaidi na mapenzi yao kwa mchezaji mmoja moja. Wanachagua kwa hisia zaidi. Hivyo tusitegemee wachezaji wengi kuchaguliwa kushinda bali taji litabaki kuzunguka kwa wachache wenye majina
Lete picha mkuu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
This is clear injustice lewandowski was robbed this ballon D’or.

We all deeply know that he was the one who was suppose to win it.

Am very much sure even next year looking at how Messi is performing at his current club some people will still feel like he should win next years ballon D’or.

Not fair for lewandowski though 🤧
 
If you think that messi deserves 2021 ballond'or just go watch formula 1 and cricket. Football is not for you.

We have just witnessed the greatest robbery in the history football. Nothing will ever come close to this.
 
Robert Lewandowski deserve it this year also.

Leo messi has been publicly rewarded by france for agree to come help promo their league by playing for PSG.

To me this year's BalloonDor is thank you for doing business with us gift.
 
I stopped watching the gala at half way coz of Messi it's so annoying to see lewandowski being deprived because of politics and mendy denied because of skin color that's why you hardly see an African being recognized in Europe even with his never ending toil
The ballon d'or is a political award that one wins at the expense of another
 
View attachment 2027717Hizo ndio takwimu zao nadhani ukiangalia namba utaelewa kwa nini Lewandowski hakupata
Hii nimeichukuwa sehemu nakubaliana na huyo aliyeandika.

I think this years balon dor ceremony just exposed how absurd the award itself is. There’s literally no criteria for the award besides “who do you THINK the best player was this year”. Unlike the golden boot, for example, which goes to the player with the most goals, so there’s no debate or difference in opinions.

There’s no criteria for the balon dor so no one knows what to base it off of. You’ll get some people that say “Jorginho won the most trophies so he should get it” or “Lewa got the most goals so he should get it” or “Messi got the most assists so he should get it”.

There’s no concrete way to decide the best player. It’s literally all based on who some random journalists’ favorite player is. I’m glad the balon dor is finally being exposed for what it really is.
 
Ok kwa hiyo 2014 wakati kipa wa germany kuwa mchezaji wa 3 bora alishindanishwa kwa vigezo vipi? Cannavaro alipewa kwa vigezo hivihivi? Luca Modric vigezo hivi hivi? au wanabadilisha kwa kungalia upepo uko wapi...
Bocco na Chama.... Ile ulikua upigaji dhahiri, Bocco alipewa kimichongo statistics zilimbeba Chama ila wakaamua kumpa Bocco.

Tuje kwenye mada yetu hapa tuna mfananisha Lewa na Leo, kwa kutumia individual performance ya last season na mafanikio ya msimu wa 2020-2021. Na kwa kipindi hiko Messi statistics zake zinambeba.

Na ndio maana awali nilikuambia season ya 2019 - 2020 Lewandowski alikua na season bora sana alishinda kila kitu ila unfortunately hakukua na tuzo. That was his time ya kubeba ile tuzo si kwa sasa.
 
Bocco na Chama.... Ile ulikua upigaji dhahiri, Bocco alipewa kimichongo statistics zilimbeba Chama ila wakaamua kumpa Bocco.

Tuje kwenye mada yetu hapa tuna mfananisha Lewa na Leo, kwa kutumia individual performance ya last season na mafanikio ya msimu wa 2020-2021. Na kwa kipindi hiko Messi statistics zake zinambeba. Na ndio maana awali nilikuambia season ya 2019 - 2020 Lewandowski alikua na season bora sana alishinda kila kitu ila unfortunately hakukua na tuzo. That was his time ya kubeba ile tuzo si kwa sasa.
Nimesikiliza huko kweye media kubwa ubishani ni huuhuu kuna watu wanapinga kuna watu wanakubali. Mimi hoja yangu kuu hakuna criteria za wazi kumpata mchezaji bora. Kusema jana kuwa eti sababu Messi kwa mara ya kwanza kashinda kikombe na Argentina haina mashiko kwa hiyo kesho Sadio Mane akishinda na team ya taifa Afcom au Mohd Salah wataitaja Afcom? kwa system wanayotumia hii ngumu sana mchezaji yoyote kutoka mataifa madogo kushinda labda ufanye juhudi kubwa mara mbili ya wale mataifa makubwa kama alivyofanya weah. Messi mchezaji mkubwa na best kwa miaka mingi ila kwa mwaka huu hapana kufunga magoal mengi copa de ray sijui isiwe sababu wangempa mfungaji bora lakini mimi hata Lew kwangu mimi kufunga magoal mengi bundesliga sio kigezo kwa maoni yangu Kante mwaka huu kama aliibeba Chelsea kuchukuwa CL alicheza mpira wa hali ya juu lakini yeye sio striker sasa kumfananisha stats za magoal na striker sio sawa. Shida hapa hakuna vigezo vya wazi mfungaji bora hakuna shida sababu vigezo viko wazi. Huu mjadala hautaisha hata kama angeshinda mwingine kuna watu wangesema hapana ni matter of opinion.
 
Mzee angalia namba kati ya hao wanaofananishwa (Lewa na Messi). Ukiondoa huo ubingwa wa Copa America kwa Messi na Bundesliga kwa Lewandowski na ubakishe statistics za individual brilliance throughout the season. Namba za Messi ni nzuri zaidi kuliko Lewandowski.
 
I think the Ballon D Oro has lost its credibility by now! Lewandowski robbed 2 years in a row!

In 2020 he was far and beyond the best player, but the award was canceled. Now in 2021, he continued his fine form, broke some 40 year old scoring record, and won 3 major trophies, but now he was robbed again! By far the current best player and consistent throughout the year. Life isn't fair! The Football mafia has succeeded.
 
Lewandowski was robbed last year not this year.
 
Lewandowski alistahili msimu uliopita pale zilipofutwa ila kwa msimu huu Messi amestahili zaidi
kwanini zilifutwa mkuu?dont tell me Covid..coz mpk sasa Covid ipo sjui sababu favorite ni messi ndo maana hawajaziahirisha!!!
 
kwanini zilifutwa mkuu?dont tell me Covid..coz mpk sasa Covid ipo sjui sababu favorite ni messi ndo maana hawajaziahirisha!!!
Hilo Sifahamu ninachojua Lewandowski alistahili kuchukua that season sababu mashindano yaliendelea haimake sense tuzo kutokutolewa.
 
Mchezaji bora wa Mwaka wa Ballon D'or imenyakuliwa na Lionel Messi (33) wa PSG na timu ya taifa ya Argentina. Aliisaidia taifa lake kushinda kombe la Copa America na kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano hayo.

Hii ni mara yake ya saba kushinda tuzo hii maarufu zaidi duniani kwa wachezaji wa Soka.

Licha ya Messi kushinda tuzo hii wachezaji wengine walioshinda tuzo mbalimbali ni hawa wafuatao:
  • Tuzo ya kinda anayeinukia imeenda kwa mchezaji Pedri wa FC Barcelona. Hapo majuzi alishinda tuzo ya Golden Boy.
  • Tuzo ya mshambuliaji hatari imenyakuliwa na Roberto Lewandowski.
  • Tuzo ya mchezaji bora wa kike imeenda kwa Alexia Putellas (27) wa FC Barcelona. Alifunga jumla ya mabao 35 na assits 19.
  • Tuzo ya Golikipa bora (Yachne Trophy) imenyakuliwa na Donnarumma (22), mshindi wa EURO 2020 na mchezaji bora wa michuano hiyo.
  • Tuzo ya klabu bora ya mwaka imeenda kwa Chelsea FC ya nchini Uingereza. Ilijinyakulia kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA CL).

Sidhani Kama Kuna kiumbe hai kingine chochote Kwenye hichi Kizazi Cha Nyoka kitakuja kuvunja hii Record ya Chuma ya Lionel Messi ya Kuchukua Ballon D'or 07 !! Kwa kuzingatia viwango vya wachezaji wa Sasa vinavyo panda na kushuka kama Uchizi wakati wa Mwezi kuandama.
 
The man is in his form for those two years and deserved two consecutive Baloon d'or
France football is fake!!! Balon D'or is a disgrace!!! Now I know why they created a new fake best striker award out of guilt for Lewandowski!!! He's the best player in the last two seasons and unbiased people would agree with me.
 
takwimu zipi ambazo Messi anazo kamshida Lewandosky kama kigezo ni trophy Georgho alistahili
32cfa651a53d4e12aa28ba610384eb4a.jpg
 
1. 2018 - Salah scored record breaking 45 goals in PL. But award was given to Luka Modric because he won the UCL. Salah wasn't even in top 3. Wow.
𝗟𝗲𝘀𝘀𝗼𝗻: 𝗧𝗿𝗼𝗽𝗵𝗶𝗲𝘀 𝗺𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿.

2. 2019 - Van Dijk won the UCL, Super Cup and lost the Prmier League on the last day after scoring 97 points. He went an enitre season without being dribbled past. Eliminated Messi in UCL. But Messi won the award from being La Liga top scorer. So...what about Salah in 2018?
𝐋𝐞𝐬𝐬𝐨𝐧: 𝐓𝐫𝐨𝐩𝐡𝐢𝐞𝐬 𝐝𝐨𝐧'𝐭 𝐦𝐚𝐭𝐭𝐞𝐫.

3. 2020 - Lewandowski performed exceptionally as individual and won all trophies including UCL. La Liga teams completely flopped. But award was canceled. At the same time, USA 🇺🇸 held national election of 370 million people by mail. But Ballon d'Or could not hold elections for 300 people?

Here's a common sense explanation of the Ballon d'Or scam and why Liverpool and African players will never win.

1. 2018 - Salah scored record breaking 45 goals in PL. But award was given to Luka Modric because he won the UCL. Salah wasn't even in top 3. Wow.
.

2. 2019 - Van Dijk won the UCL, Super Cup and lost the Prmier League on the last day after scoring 97 points. He went an enitre season without being dribbled past. Eliminated Messi in UCL. But Messi won the award from being La Liga top scorer. So...what about Salah in 2018?

3. 2020 - Lewandowski performed exceptionally as individual and won all trophies including UCL. La Liga teams completely flopped. But award was canceled. At the same time, USA 🇺🇸 held national election of 370 million people by mail. But Ballon d'Or could not hold elections for 300 people?

4. 2021 - Messi wins. He was 3rd in La Liga and eliminated in UCL round of 16. Lewandowski must be tennis player.

If this doesn't wake you up, nothing will.
 
So what I'm saying is not Messi isn't a GOAT,yh he is the best player blah blah blah.

Buh we all know that Lewandowski deserves the ballon d'or.

All Messi needed to do is to join psg because of the balon d'or....the France connection.

As at last year everyone knew it just has to be lewandowski even this August until he made the move them from no where Messi.

started coming out to win the award and them boom he won it
 
the hate on Ronaldo is too much actually messi only beats Ronaldo by one achievement( Copa America)

Euro Top scorer - Cristiano
Copa Top scorer - Messi

Serie A top scorer - Cristiano
Laliga Top scorer - Messi

* Both Won the League cup

haters👀👀👀
 
Back
Top Bottom