Ballon d'Or 2021: Lionel Messi ashinda tuzo ya saba ya Ballon d'Or ambwaga Lewandowski

Ballon d'Or 2021: Lionel Messi ashinda tuzo ya saba ya Ballon d'Or ambwaga Lewandowski

Mzee angalia namba kati ya hao wanaofananishwa (Lewa na Messi). Ukiondoa huo ubingwa wa Copa America kwa Messi na Bundesliga kwa Lewandowski na ubakishe statistics za individual brilliance throughout the season. Namba za Messi ni nzuri zaidi kuliko Lewandowski.
Mimi sikatai haya yote na wala halina ubishi Messi ni mchezaji bora kwa miaka mingi. shida yangu hizi statistic zinaanza kutumika ikiwa in favor ya mtu fulani. swali huko mbele tutakuwa tunachagua mchezaji bora ay striker bora maana huu ubishi unajadiliwa dunia nzima lakini ndio raha ya mpira hakuna same opinion. Striker bora hii zawadi imeanza lini? jana wanatoa zawadi sahani lile kumpoza Lew. Kipa bora kwa mimi Mendy mwaka huu lakini kapewa Dona, sio kwamba kipa mbaya lakini Mendy kafanya makubwa chelsea na team ya taifa. kuna mambo mengi hayako sawa.
 
Ikiwa ni hivyo basi Georginho anastahili maana kashinda C. league na Euro na mchango wake ulikuwa mkubwa sana leo Copa America ndio imekuwa kubwa wakati washindi kila mara ni wao Brazil au Argentina kaingia kidogo Chile na Uruguay kidogo.
Kiukweli kabisa kutoka Moyoni Mashindano ya Mataifa ya Afrika kuwania Ubingwa wa CAF ni Magumu kuliko COPA AMERICA. Ani bara Zima la Amerika ya kusini Kuna team nne tu ngumu ambazo ni Brazil , Argentina,Chile na Uruguay zilizo baki ni wavuta bangi na wala unga. Unawezaj ukampa mtu tuzo kwa kuangalia Mchango wake Kwenye ligi ya bara lenye Team nne tu . Una linganisha vitim Kama , Paraguay,nikaragua , Ecuador,na nyinginezo Kama hizoo that is shame.
COPA AMERICA ni Mashindano dhaifu Sana ya Mabara sidhani Kama ni Busara kuya linganisha na kuyachukulia Kama reference
 
View attachment 2027717Hizo ndio takwimu zao nadhani ukiangalia namba utaelewa kwa nini Lewandowski hakupata
Kama wametumia hizi basi alitakiwa shinde kwa points nyingi ila Messi kamshinda kwa point 30 tu ndio unajiuliza ni vigezo hivi au opinion za media tu. Maana kama ni hizi basi Messi alitakiwa kuwa na point nyingi zaidi sio 30.
 
So what I'm saying is not Messi isn't a GOAT,yh he is the best player blah blah blah.
Buh we all know that Lewandowski deserves the ballon d'or
All Messi needed to do is to join psg because of the balon d'or....the France connection
As at last year everyone knew it just has to be lewandowski even this August until he made the move them from no where Messi started coming out to win the award and them boom he won it


Nimeanza kuelewa sasa
 
So what I'm saying is not Messi isn't a GOAT,yh he is the best player blah blah blah.
Buh we all know that Lewandowski deserves the ballon d'or
All Messi needed to do is to join psg because of the balon d'or....the France connection
As at last year everyone knew it just has to be lewandowski even this August until he made the move them from no where Messi started coming out to win the award and them boom he won it
Mkuu sasa mbona numbers Bob kazidiwa na Leo ?...Wakuu mbona mnamchukiga sana Messi ?
 
Kwa sasa Utopolo wa kimataifa waache kumlinganisha demu wao Christina, alierudi baada ya kutumika na mabwana wengine na M10
 
Mkuu sasa mbona numbers Bob kazidiwa na Leo ?...Wakuu mbona mnamchukiga sana Messi ?
Which numbers?
messi only beats Ronaldo by one achievement( Copa America)

Euro Top scorer - Cristiano
Copa Top scorer - Messi

Serie A top scorer - Cristiano
Laliga Top scorer - Messi

* Both Won the League cup

Ukija kwa Lewa ndo kabisa
*Bundesliga top scorer
*Won the league cup
*Won the Bundesliga league
*Break goalscorering record in Bundesliga
*Champions league top scorer in the making
*Best Bundesliga striker in the making
*Club world cup winner
*Golden shoe
*65 Goals and 13 assists, involved in 78 goals In single season
 
This is the true personification of fraud and robbery..
Lewandowski was robbed both last year and this year, TOTAL CORRUPTION IN BALON D'OR..
This will definitely make people hate Balon d'or all the time, very useless award.
Messi never deserved any BALON D'OR [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
[emoji2][emoji2][emoji2] Andika tu kswahil kka, hapa tunasoma sie wabongo...hasomi Jorge Mendes wala Fergusson Alex...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi tuzo tokea mwaka 2010 nikaona hazina weledi tena wapigaji kura wanapiga kwa mapenzi binafsi tu sio uhalisia wa uwanjani ni jinsi gani unaisaidia timu
 
Ulaya n mafis yaliyojificha kwenye unafiki yan walitaka lewandosk aoneshe kiwango gan ndo wampe tuzo kila kitu Ulaya n siasa tu hao n Kama tifua tifua waliochangamka
 
As from today I will not consider ballon d'Or winner as the best due to selfishness and political issues inside it, there were time that players like Sneijda, Iniest, deserve to win ballon d'Or with all reasons that FIFA used to consider but unfortunately awarded to Messi, although France can't distort some players like CR7 courage and shine but this might touch the diginity of FIFA in the world eyes and will not regards the as some thing important.
Since 2010 my consideration about this awards gone
 
Ulaya n mafis yaliyojificha kwenye unafiki yan walitaka lewandosk aoneshe kiwango gan ndo wampe tuzo kila kitu Ulaya n siasa tu hao n Kama tifua tifua waliochangamka
Wakati messi hafanyi vizuri kule copa America walikuwa wanatumia takwimu za ulaya hawa jamaa ni wanasiasa tu
 
Hivi hizo stats zinaukweli wakuu!!!

IMG-20211130-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom