mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,695
Lete picha mkuuNiko na mawazo tofauti juu ya hizi tuzo za kila mwaka. Namna mshindi anavyopatikana . Sidhani kama wapiga kura kweli wanaangalia vigezo vya mchezaji katika kuwakilisha klabu au taifa lake. Nahisi wanapelekwa zaidi na mapenzi yao kwa mchezaji mmoja moja. Wanachagua kwa hisia zaidi. Hivyo tusitegemee wachezaji wengi kuchaguliwa kushinda bali taji litabaki kuzunguka kwa wachache wenye majina
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app