Ballon d'Or 2021: Lionel Messi ashinda tuzo ya saba ya Ballon d'Or ambwaga Lewandowski

ukichukua numbers za bob+gorginho bado hawamkuti messi...yan hawa watu wabishi tu
 
ukichukua numbers za bob+gorginho bado hawamkuti messi...yan hawa watu wabishi tu
Sipati picha Ronaldo angechukua kama wangebisha 🀣 ndiyo ujuwe mti wenye matunda hupigwa mawe, siyo kwamba hawajui messi ni bora kuliko mchezaji yeyote kuwahi kutokea, wanajuwa sana....siyo kwamba hawajui messi ndiye amestahili ballon, wanajuwa sana 🀣 so twende nao hivyo hivyo kamanda tushawazoea hawa.
 
mkuu yan unaangali makombe na magoli tu ? kwa jinsi messi alivyo hatari nlijua tu kuna siku achievement zake zitakuja kuleta mzozo....

Hahaaa wanajiaibisha aise....i

5 amazing achievements which make Lionel Messi the favourite to win the 2021 Ballon d'Or award

 

Ndiyo nini sasa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 unahangaika bure masikini ya mungu, mengi hapo hayana point

5 amazing achievements which make Lionel Messi the favourite to win the 2021 Ballon d'Or award


5 amazing achievements which make Lionel Messi the favourite to win the 2021 Ballon d'Or award

Lionel Messi is widely considered to be the favourite to win the Ballon d'Or this year. It will be a record seventh Ballon d'Or win for the PSG forward.
www.sportskeeda.com
 
Aya sawa
 
Tuzo za sasa zimekuwa kama kili award za hapa kwetu.
Uzito umepungua na mvuto umepotea, yule kipa mtaliano anamzidi nini benjamini mendy?
Bora messi kidogo ,ingawa nae hakustahili,nadhani tuzo zipo kibiashara zaidi.

mkuu unafahamu kama gigi ndie aliekua mchezaji bora wa mashindano ya euro?
 
dunia inakwenda kwa kasi sana, Leo hii mashabiki wa messi wamekua wakijipapatua kuwa messi alistahili tunzo mana kapiga pasi nyingi kuliko lew 🀣🀣🀣
 
dunia inakwenda kwa kasi sana, Leo hii mashabiki wa messi wamekua wakijipapatua kuwa messi alistahili tunzo mana kapiga pasi nyingi kuliko lew [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatzo lenu mnashindana na magwij wa mpira walio decide messi ashinde..yaan wee kapuku ambae ni shabik maandaz tu unataka bisha...mzungu kaweka takwimu na bado mnazibishia takwim..kwel ngoz nyeus ina tatzo aisee.dah
 
Tatzo lenu mnashindana na magwij wa mpira walio decide messi ashinde..yaan wee kapuku ambae ni shabik maandaz tu unataka bisha...mzungu kaweka takwimu na bado mnazibishia takwim..kwel ngoz nyeus ina tatzo aisee.dah

hivi kama hizo key pass ndio kigezo kikubwa huyo messi aliwezaje kushinda hizo tunzo huko nyuma mbele ya mafundi xavi na iniesta?
 
Jamani hivi bado messii tuuu anabeba haya mahela!! Hamna wengine
 
Mashabiki wa Ronaldo mna makasiriko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndo hvyo I think Argentina watachukua world cup mwakani, then messi Atachukua ya 8 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfe zaiidii
Messi abaki na 7 hizihizi ili ronaldo awe anatembea na namba ya ballon dor za messi mgongoni
 
Mnaopinga kuwa Messi hakustahili basis semeni kuwa hizo data ni za kupika, lasivyo acheni mambo ya umbea
vigezo walivyovitumia kuwalinganisha haviingii akilini . yaani kwa vigezo hivyo haitokuja kutokea tukapata golikipa akawa mchezaji bora.
 
Acha kelele..kama unaelewa kidhungu soma hapo takwimuView attachment 2028112
sasa Mkuu hivi kwa vigezo hivi itakuja kutokea kweli golikipa akachukua hiyo tuzo ?. Maana naona vigezo karibia vyote ni vya mchezaji wa ndani .
1. Pass accuracy
2. Goal created
3. Dribbling
4. Goals
5. Tacklings
6. Shoots on target
7.goal assist.
Sasa kwa vigezo hivyo kuna golikipa atakuja kubeba hiyo tuzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…