Ballon d'Or 2022/2023: Who is your favorite?

Hivi kwa nini wasiwaweke wachezaji toka ligi za asia. Uarabuni, america, n.k? Kwa nini hiyo tuzo wanaangalia wachezaji wa ulaya wakati wanasema ni ya dunia?


Kiukweli mkuu mimi mpira sifatilii ILA nahisi labda ukubwa wa league kama hiyo ya uingereza, kuna watu hatufatilii mpira lakini lazima umsikie mtu kama debruyne, harlaand, ILA nitafutie watu10 wakutajie wachezaji watatu wa club yoyote ya saudi arabia nina hakika Kati ya 10 hata watatu hawafiki watakaotaja
 
Julian Alvarez created history by becoming the first player to win a club treble and FIFA World Cup in the same season.
 
Una shangaa iyo uyo anduje apo juu ali piga goal 91 msimu mmoja
Ronaldo Ali tupia 69
Lewandowsk nae alisha tupia 69

Wame goal zaidi ya hizo mala nyingi hadi ikawa kawaida
Marekebisho, sio msimu mmoja ni mwaka mmoja, mfano chukua magoli yaliyofungwa januari mwaka huu jumlisha mpaka ya disemba, maana yake hapo yameingia ya misimu miwili vipande vipande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…