Ballon d'Or 2022/2023: Who is your favorite?

Ballon d'Or 2022/2023: Who is your favorite?

Ni kusumbua akili za wapenda soka tu Pier Liquid na Haaland ni mbingu na ardhi.
Pier Liquid ana wed kap na ni kipenzi cha wakina Gianni Infantino na wahuni wenzie.
Watu wanashindwa kuelewa hii tuzo
Tuzo hii ukiachana na mafanikio ya mchezaji kuna uwezo binafsi kuna mahaba kwa huyo mchezaji
Messi takwimu za nyuma na za sasa ukijumlisha na mahaba ya watu kwake anaweza ibeba tena
 
Back
Top Bottom