Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wanaposema Golden boot ulaya(mchezaji alieyescore goal nyingi kwenye ligi kuliko wote kwa msimu huko ulaya) zinaangaliwa league tano, kwa mujibu wao ndio league tano bora ulayaKiukweli mkuu mimi mpira sifatilii ILA nahisi labda ukubwa wa league kama hiyo ya uingereza, kuna watu hatufatilii mpira lakini lazima umsikie mtu kama debruyne, harlaand, ILA nitafutie watu10 wakutajie wachezaji watatu wa club yoyote ya saudi arabia nina hakika Kati ya 10 hata watatu hawafiki watakaotaja
Hata wanaposema Golden boot ulaya(mchezaji alieyescore goal nyingi kwenye ligi kuliko wote kwa msimu huko ulaya) zinaangaliwa league tano, kwa mujibu wao ndio league tano bora ulaya
EPL
LA LIGA
BUNDESLIGA
SEEIA A
LEAGUE 1
Kama hutoki kwenye league hizo basi kiwashe kwelikweli hadi waone haya
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwa mfano mchezaji gani toka huko unaona awepo? Muweke na takwimu zake na mafanikio yake hapaHivi kwa nini wasiwaweke wachezaji toka ligi za asia. Uarabuni, america, n.k? Kwa nini hiyo tuzo wanaangalia wachezaji wa ulaya wakati wanasema ni ya dunia?
Hili nalo ni swali?
Soka la maveteran liwe kubwa kama uingereza 😄Daah hii hatari nilikuwa sijui,
Hivi mkuu unafikiri waarabu kununua wachezaji wakubwa inaweza saidia ligi yao kukua na kuwa kubwa kama ya uingereza?
Soka la maveteran liwe kubwa kama uingereza 😄
😂😂😂KwakweliSoka la maveteran liwe kubwa kama uingereza 😄
Bongo Ukisema watu wataje mchezaji mmoja wa saudi Arabia tofauti na ronaldo.Kiukweli mkuu mimi mpira sifatilii ILA nahisi labda ukubwa wa league kama hiyo ya uingereza, kuna watu hatufatilii mpira lakini lazima umsikie mtu kama debruyne, harlaand, ILA nitafutie watu10 wakutajie wachezaji watatu wa club yoyote ya saudi arabia nina hakika Kati ya 10 hata watatu hawafiki watakaotaja
Wachezaji wengi wanaenda mls kustaafia soka umeona imeizidi epl kwa umaarufu😂😂😂Kwakweli
Nimeona mchezaji mmoja tuu ndo aliwahi kutupia magoli sijui 63...mwaka 1920 huko..ndo kaja huyu dogo..au google inadanganya..Una shangaa iyo uyo anduje apo juu ali piga goal 91 msimu mmoja
Ronaldo Ali tupia 69
Lewandowsk nae alisha tupia 69
Wame goal zaidi ya hizo mala nyingi hadi ikawa kawaida
Mhhhh....Messi 2012 alifunga goli 91
Google ya mchongo hio. List ipo hiviNimeona mchezaji mmoja tuu ndo aliwahi kutupia magoli sijui 63...mwaka 1920 huko..ndo kaja huyu dogo..au google inadanganya..
Tupe maajabu yake yanayostahili balloon Dior anabahati yakuwepo kwenye vikosi vyenye mafanikio ila sio kwamba amekua mchezaj muhim hii tuzo inaukubwa wakeJapo ni shabiki wa Man Utd ila huyu dogo apewe maua yake.
World Cup![]()
Copa America![]()
Finalissima![]()
Argentine Primera![]()
Copa Libertadores![]()
Copa Argentina![]()
Supercopa Argentina![]()
Trofeo de Campeones![]()
Recopa Sudamericana![]()
Champions League![]()
Premier League![]()
FA Cup![]()
![]()
Aisee asante sana kwa kunijuza...Google ya mchongo hio. List ipo hivi
1. Lionel Messi-73 goals (2011/2012)
2.Ferenc Diac-66 goals (1945/1946)
3. Gerd Muller- 66 goals (1972/1973)
4. Dixie Dean- 63 goals (1927/1928)
5. Cristiano Ronaldo- 61 goals (2014/2015)
6. Cristiano Ronaldo- 60 goals (2011/2012)
7. Lionel Messi-60 goals (2012/2013)
Hapo wanafuata wanaume kama Lewandowski na Suarez na wengine kibao. Halaand hapo hasogezi pua na 53 zake.
Waaangalia perfomance na makombe sawaJapo ni shabiki wa Man Utd ila huyu dogo apewe maua yake.
World Cup![]()
Copa America![]()
Finalissima![]()
Argentine Primera![]()
Copa Libertadores![]()
Copa Argentina![]()
Supercopa Argentina![]()
Trofeo de Campeones![]()
Recopa Sudamericana![]()
Champions League![]()
Premier League![]()
FA Cup![]()
![]()
Mhhhh....