Ballon d'Or 2022/2023: Who is your favorite?

Hata wanaposema Golden boot ulaya(mchezaji alieyescore goal nyingi kwenye ligi kuliko wote kwa msimu huko ulaya) zinaangaliwa league tano, kwa mujibu wao ndio league tano bora ulaya
EPL
LA LIGA
BUNDESLIGA
SEEIA A
LEAGUE 1

Kama hutoki kwenye league hizo basi kiwashe kwelikweli hadi waone haya

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 


Daah hii hatari nilikuwa sijui,
Hivi mkuu unafikiri waarabu kununua wachezaji wakubwa inaweza saidia ligi yao kukua na kuwa kubwa kama ya uingereza?
 
Hivi kwa nini wasiwaweke wachezaji toka ligi za asia. Uarabuni, america, n.k? Kwa nini hiyo tuzo wanaangalia wachezaji wa ulaya wakati wanasema ni ya dunia?
Kwa mfano mchezaji gani toka huko unaona awepo? Muweke na takwimu zake na mafanikio yake hapa
 
Bongo Ukisema watu wataje mchezaji mmoja wa saudi Arabia tofauti na ronaldo.
Kwenye watu 1,000,000 utapata mmoja atakayetaja
 
Nimeona mchezaji mmoja tuu ndo aliwahi kutupia magoli sijui 63...mwaka 1920 huko..ndo kaja huyu dogo..au google inadanganya..
Google ya mchongo hio. List ipo hivi
1. Lionel Messi-73 goals (2011/2012)

2.Ferenc Diac-66 goals (1945/1946)

3. Gerd Muller- 66 goals (1972/1973)

4. Dixie Dean- 63 goals (1927/1928)

5. Cristiano Ronaldo- 61 goals (2014/2015)

6. Cristiano Ronaldo- 60 goals (2011/2012)

7. Lionel Messi-60 goals (2012/2013)

Hapo wanafuata wanaume kama Lewandowski na Suarez na wengine kibao. Halaand hapo hasogezi pua na 53 zake.
 
Tupe maajabu yake yanayostahili balloon Dior anabahati yakuwepo kwenye vikosi vyenye mafanikio ila sio kwamba amekua mchezaj muhim hii tuzo inaukubwa wake
 
Aisee asante sana kwa kunijuza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…