Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
sawaWanataja countdown ya wachezaji kuanzia no 16
16.Robert Lewandowski
14.Paul Pogba
14.Artulo Vidal
13.Zlatan Ibrahimovic
12.Rui Patricio
11.Pierre Emerick Aubemeyang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaWanataja countdown ya wachezaji kuanzia no 16
16.Robert Lewandowski
14.Paul Pogba
14.Artulo Vidal
13.Zlatan Ibrahimovic
12.Rui Patricio
11.Pierre Emerick Aubemeyang
Ronaldo...haya bhana mwaka ulikuwa wake.
Sizani kama kuna chanel inayoonyesha huu upuuziHivi channel gani imekava hii?
Waweza hoji ni ubora upi?itafikia mwaka sasa waandaaji wafikirie vigezo,ni kama wanapotea!kigezo chao eti c7 timu zake real Madrid na Portugal zilibeba makombe 2015! Lakini tuchukue uwezo binafsi Wa mmoja mmoja uwanjani tangu hiyo 2015 hadi leo Nani mkali kati ya C7 na Huyu mchawi Wa soka Lionel Messi?Ronaldo ni mchezaji bora duniani lakini huyu Messi yeye ni wa sayari nyingine. ACHEN KUMLINGANISHA MESSI NA MAMBO YA KIJINGAJINGA.
Alichukua peke yake?_tena kama euro alicheza dakika chache akaumia akageuka kocha!!Msimu 2015-2016 umekuwa mzuri kwa CR7 huku akichukua makombe muhimu ya klabu na nchi.
Waweza hoji ni ubora upi?itafikia mwaka sasa waandaaji wafikirie vigezo,ni kama wanapotea!kigezo chao eti c7 timu zake real Madrid na Portugal zilibeba makombe 2015! Lakini tuchukue uwezo binafsi Wa mmoja mmoja uwanjani tangu hiyo 2015 hadi leo Nani mkali kati ya C7 na Huyu mchawi Wa soka Lionel Messi?
Hakika Ronaldo amepatiwa haki yake kwa 100% ,na naona dalili zote za kuutwaa uchezaji bora tena mwakan