Ballon d'Or : Christiano Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2016

Ballon d'Or : Christiano Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2016

Ronaldo alistahili awe na tuzo nane kuna tuzo mbili alistahili lakini akapewa MeSSi kiupendeleo tu na zilikuwa kura za wachezaji wasiompenda na hao walisema bila unafiki... So Ronaldo ni zaidi ya MeSSi siku zote. oi
 
Messi ni mtamu zaidi na na ndio maana yy anayo moja zaidi mkononi. Mfalme na mchawi wa soka duniani inafahamika kwamba ni Pelle lakini hata wadau wakubwa wa soka waliomwona Pelle akicheza wanakiri wazi kwamba japokuwa Pelle alikuwa mchezaj mzur sana lakini huyu Messi ni zaidi ya Pelle. Mjadala wa mchezaj bora kuwah kutokea kwenye Uso wa dunia ni kati ya Pelle vs Maradona lakin mwisho wa siku Pelle anaonekana bora. Pia mjadala unakuwa mkubwa zaid akilinganishwa Pelle vs Messi japo kuwa wamecheza ktk vizaz tofaut, ndipo weng wanaona Pelle ni mfalme wa soka wakat Messi yy ni mchezaj bora zaidi kuwah kutokea dunian. Hutakuja kumsikia Ronaldo akilinganishwa na Pelle au Maradona sanasana analinganishwa na Messi kwa sababu huyu ni mpinzani wake zaid ktk kizazi hik

Jaman tuache ujinga wa kumfananisha Messi na vitu vya hovyohovyo. Miguu yake inaufanya mpira ionekane rahis sana kuucheza kwa sabab yy anaufanya mpira anavyotaka yy na mpira unamunheshimu. Miguu ya Messi ina maajab makubwa coz vitu anavyovifanya wachezaj wengine kwao imebak kuwa ndoto.
Japokuwa Pelle yy binafs pamoja na wachambuz wa Soka walishawah kusema kwamba hakuna mchezaj bora zaid dunian na hatakuja kutokea km pelle lakin baadaye Pelle yy binafs ashawah kukir pale aliposema " I like Messi a lot, he is a great player. Technically, we are practically at the same level" Pelle


Kwa hiyo kwa kuongea ukwel Ronaldo naye ni mcheza mzur sana kwa kuwa ana nguvu na spid kubwa lakin Messi ni bora zaid kwa kuwa yy ana ile natural Talent ya kuweza kuucheza mpira anavyotaka. Messi ni BALL PLAYER na inaleta raha sana kumwangalia na ndio maana hata Luis Figo alishawah kusema TO WATCH MESSI PLAYING IT FEELS GOOD LIKE ORGASM
 
Hizi tuzo wasipewe tena wachezaji wapige kura... Wana upenzi na kihuruma Fulani bila aibu kama utakumbuka wote kina messi walitaka atletico Madrid achukue champion league ati kisa real Madrid kalichukua Mara nyingi... Wtf.. Lakini dua zao Mbaya zikafeli dhidi ya Ronaldo ndio kama waliing'alisha mikombe yote akabeba hadi club ya Dunia na ndie mchezaji bora kabisa... Wanaona haya wamekaa vibaya..... Hahahaha na msimu huu kila kitu kinabebwa na real and Ronaldo
 
Back
Top Bottom