Ballon d'Or : Christiano Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2016

6
 

Attachments

  • 1481568993960.jpg
    54.3 KB · Views: 40
Christiano Ronaldo 2016 Balon Dor Winner
 

Attachments

  • 1481569433538.jpg
    86.9 KB · Views: 40
Ronaldo ashinda kwa mara ya 4 mchezajj bora wa dunia.
Fifa pia watangaza wachezaji bora 20.
1.Ronaldo.
2.Messi.
3.Greinzman.
4.Suarez.
5.Neymer.
6.Bale.
7.Mahrez
8.Vardy.
9.Pepe &Bufon.
11.Abubameyan.
12.Rui Patricio.
13.Ibramovic.
14.Pogba & Vidal.
16.Robert Lendowisk.
17. Luka Modric & Tony Cruz
19.Payet.
Poleni timu kubwa UK ina maana wachezaji wenu wote ni wa ndondo cup?
 
Hakika Ronaldo amepatiwa haki yake kwa 100% ,na naona dalili zote za kuutwaa uchezaji bora tena mwakan
 
Ronaldo ni mchezaji bora duniani lakini huyu Messi yeye ni wa sayari nyingine. ACHEN KUMLINGANISHA MESSI NA MAMBO YA KIJINGAJINGA.
Waweza hoji ni ubora upi?itafikia mwaka sasa waandaaji wafikirie vigezo,ni kama wanapotea!kigezo chao eti c7 timu zake real Madrid na Portugal zilibeba makombe 2015! Lakini tuchukue uwezo binafsi Wa mmoja mmoja uwanjani tangu hiyo 2015 hadi leo Nani mkali kati ya C7 na Huyu mchawi Wa soka Lionel Messi?
 

Tupe vigezo vyako au andaa tuzo zako....hukuwaona EATV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…