Ballon d'Or : Christiano Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2016

Sasa ivi imerudi kama ilivyokuwa kabala ya 2008 , inatolewa na france na wanaopiga kura nazani japo sina uhakika ni waandishi wa habari wa michezo, FIFA itasimama kama FIFA sasa ivi
 
Ni kweli Real Madrid walibeba kombe LA uefa na ni sawa Portugal walichukua ndoo ya euro lakini kiuwezo binafsi bado Lionel Messi kamuacha mbali CR 7 kiutendaji pale uwanjani wala haina ubishi
Acha ubatili na kujilisha upepo.Mchezaji bora ni CR7,peeiod.
 
Ushindi wangempa Messi ningeandamana, C.Ronaldo amestahili kwa vigezo vyote. na wazoefu wa soka tulishatambua kabisa hapakuwa na hoja ya kuumiza kichwa.
Bora we ungeandamana mi ninge choma vyeti vyangu vyoote vya elimu
 
Kwani Huyo Mmoocco yeye hajakosa Penati?

Au akikosa KING dunia inashangaa
Khaaa!! We jamaa umechanganyikiwa na cr 7 kuchukua tuzo ee.

Alikosa penalt kwenye fainali, akawakosesha ubingwa Argentina, mwenzie CR 7 hakukosa, akwapa ubingwa real madrid , hakukosa akawavusha robo fainali Portugal

Nadhani hii tuzo imekuchanganya sana asee
 
Kwa hyo tuzo zenu za EATV ndio unafananisha na za FIFA?

halafu unafikir Barcelona kuna mpumbav wa kufatilia mambo ya kijinga hadi kututolea mifano ya EATV
Mkuu inawezekana haupo sawa mpaka sasa, kweli Cr 7 kakuchanganya kuchukua tuzo.

Jamaa anacho maanisha EATV walianzisha tuzo zao wakaweka utaratibu wao wa kuoata washindi, na nyie ambao hamja kubaliana na utaratibu wa Ballon d or anzisheni tuzo yenu.

Mbona una kuwa butthurt fan bila sababu.
 
2014 ronaldo alitoka kapa makombe yote hakuchukua hata moja huku watu walichukua worldcup nk ila tuzo akachukua yy..usije shangaa
Unazifaham data za cr 7 za 2014 wewe!!?

Alafu alichukua UCL, jitahidi kurudosha kumbukumbu zako vizuri.

Tatizo humi wengi mnaongelea hisia bila data.
 
Kwasababu unajua kabisa kua huna vyeti vyovyote,comment zako zinathibitisha hilo.
Sasa nahesabu huu kama ni uchokozi. Kama topic huioni unata tusemane mimi na wewe hayo mambo staki.
Endelea na yako na mimi niendelee na yangu tusiharibiane siku asee, ujinga staki.
Shwaini we!
 
Haaa
Hao balon d or mbona maandazi hivi !! Messi kawaje wa pili Messi alitakiwa awe wa 4 baada ya Suarez na Griez
Ungekua unajua soccer usingeandika huu utumbo wako hapa,kwahiyo wewe unajua zaidi kuliko hao waliompigia kura? Acha ku comment kwa mihemko ya kitoto,halafu ukijibiwa unakuja kulia lia hapa!
 
Ungekua unajua soccer usingeandika huu utumbo wako hapa,kwahiyo wewe unajua zaidi kuliko hao waliompigia kura? Acha ku comment kwa mihemko ya kitoto,halafu ukijibiwa unakuja kulia lia hapa!

Nitolee upuuzi wako, nadhani unanitafutia ban kwa makusudi sasa.
Acha ushoga huo wa kufuatilia comments zangu nisha kwambia kila mtu aendelee na yake.
Usjifanye we mjuaji sana wa maneno msenge wewe.
 
Nitolee upuuzi wako, nadhani unanitafutia ban kwa makusudi sasa.
Acha ushoga huo wa kufuatilia comments zangu nisha kwambia kila mtu aendelee na yake.
Usjifanye we mjuaji sana wa maneno ****** wewe.
Huna hoja ndio maana unatokwa povu hovyo, jibu hoja acha kulia lia na kuleta vikashfa vya kitoto hapa,siku nyingine jaribu kua makini zaidi.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…