Ballon d'Or : Christiano Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2016

Ballon d'Or : Christiano Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2016

*Jamani naomba kuweka sawa hili swala.

Hizi tuzo zilizotolewa leo sio za FIFA, hii ni tuzo ya *French Football Ballon D'or.*
Tuzo hizi zinazotolewa na chama cha soka cha France.
Hizi tuzo ziliwahi kuwepo awali toka mwaka 1956 hadi 2009, na zilijulikana pia kama European Footballer of The Year.
Kutoka 2010 hadi 2015, hizi tuzo ziliungana na zile za FIFA za *FIFA World Player Of the Year* na kuunda tuzo zilizoitwa *FIFA BALLON D'OR.*

Mwaka huu, hizi tuzo mbili zimetenganaa.

Tuzo za French Football Ballon D'Or zikarudishwa upya. *Na ndio hizi zilizotolewa leo kwa Cristiano Ronaldo kushinda.*

Tuzo za FIFA kwa sasa zinaitwa *THE BEST FIFA FOOTBALL AWARDS* zinazotarajiwa kufanyika *Tarehe 9 Januari, 2017 jijini Zurich, Switzerland.*
 
Huna hoja ndio maana unatokwa povu hovyo, jibu hoja acha kulia lia na kuleta vikashfa vya kitoto hapa,siku nyingine jaribu kua makini zaidi.
Fala wewe hujaja na hoja umekuja na mipasho peleka taarabu zako mbele huko
 
Unazifaham data za cr 7 za 2014 wewe!!?

Alafu alichukua UCL, jitahidi kurudosha kumbukumbu zako vizuri.

Tatizo humi wengi mnaongelea hisia bila data.

mashabiki wa messi wasumbufuuu
Sasa nahesabu huu kama ni uchokozi. Kama topic huioni unata tusemane mimi na wewe hayo mambo staki.
Endelea na yako na mimi niendelee na yangu tusiharibiane siku asee, ujinga staki.
Shwaini we!
 
List ya ballon d'or wachezaji bora
1481638764134.png

1481638774620.png

Hivi wakisema kura zipigwe na wanawake tu,
Sidhani kama kuna mwaka messi atachukua

Kwa miaka inayo kuja wata pata wengine mtu kama Cr 7 umri tayari
Una mtupa mkono
 
Weka mbali na .................................
 

Attachments

  • CR7.jpg
    CR7.jpg
    68.7 KB · Views: 30
khaaaaa.....dunia Ipi?mm ht simpendi
Uwe unasoma comment na kuilewa kabla ya kukurupuka,mtu anayelijua soccer kwa miaka hii hawezi kumponda Messi,sasa wewe hata usipompenda Messi nani hata anakujua wewe?!!! Hapo unatamani japo ingetokea siku moja ukakutana nae njiani lakini ndio haiwezekani tu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom