Ballon d'Or : Christiano Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2016

Ballon d'Or : Christiano Ronaldo ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2016

Uwe unasoma comment na kuilewa kabla ya kukurupuka,mtu anayelijua soccer kwa miaka hii hawezi kumponda Messi,sasa wewe hata usipompenda Messi nani hata anakujua wewe?!!! Hapo unatamani japo ingetokea siku moja ukakutana nae njiani lakini ndio haiwezekani tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana ndo hajapata tuzoo

tuliza ball
huu mchezo hauhitaj hasira....
 
Na mashaka na wewe vi maneno vyako vime kaa ki shoga shoga zaidi.

Naona unalipenda sana neno Shoga na limekukaa mdomoni! Hii sio dalili nzuri kwa mtamkaji!!Vipi kijana kwema lakini?
Wakuu haina maana ya kuhitilafiana sote ni wamoja

tusitamkiane maneno gombanishi
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Ballin d'or tunzo ya mchezaji bora:
--Messi tunzo 5
--Christian Ronaldo tunzo 4
--Zinedine zidane 3
--Ronaldo de lima 3
--Ronaldinho 2
CR7 aongeze juhudi mpaka avunje rekodi ya Messi ndo astaafu soccer[emoji1]
NB: mimi ni Team Ronaldo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ungekua unajua Soccer usingemponda Messi wakati Dunia nzima inamtambua!

Uwe unasoma comment na kuilewa kabla ya kukurupuka,mtu anayelijua soccer kwa miaka hii hawezi kumponda Messi,sasa wewe hata usipompenda Messi nani hata anakujua wewe?!!! Hapo unatamani japo ingetokea siku moja ukakutana nae njiani lakini ndio haiwezekani tu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana ndo hajapata tuzoo

tuliza ball
huu mchezo hauhitaj hasira....
 
hawa team Mess wapuuzi mno baadhi yao

they jus only think messi as an angel while he is jus like other human being...
Teh! Teh! Andika tu kiswahili aisee!! hicho kiingereza cha kuunga unga na super glue dah!!
 
Dada kama umegombana na mumeo malizana nae tu huko huko usituletee vimaneno vya njiwa humu.
Sasa we shoga unahisi mi ni dada.
Kwa hiyo wewe mwanaume kuolewa ndio unahisi kila mtu yuko hivo ee!?
Uache hayo mambo asee, halafu unatuchafulia mpira wetu.

Kweli umekubuhu
 
Ni kweli Real Madrid walibeba kombe LA uefa na ni sawa Portugal walichukua ndoo ya euro lakini kiuwezo binafsi bado Lionel Messi kamuacha mbali CR 7 kiutendaji pale uwanjani wala haina ubishi
Nyie ndio wale wale mnaosema japo katunga ila tumempiga chenga!! Pathetic
 
Back
Top Bottom