Ballon D’or ni kati ya Alvarez na Martineź

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Julian Alvarez amekuwa na wakati mzuri sana akiwa na Mancity pamoja na Argentina. Kwenye kombe la Dunia aliweza pachika goli 4 na kushinda Kombe la Dunia. Kama atashinda Uefa Alverez atakua na Advantage ya WC. Kura yangu nampa Alvarez, Haaland nje na Club hana mafanikio na Timu ya Taifa.

Lautaro Martinez licha ya kuwa na wakati mbaya kwenye Worldcup ila ana advantage ya kupewa tuzo kama atashinda Uefa Champions league. Ameisaidia sana Inter mpaka kutinga Final ya Uefa 2023, kama inter atachukua ubingwa bhas Martinez anastahili kupewa tuzo hii.

Alvarez au Martinez naona ni chaguo sahihi ya kupewa tuzo ya Ballon D’or 2023 na sio nje ya hapo.
 
Mtazamo wako uheshimiwe.
 
Mkuu,
Lionel messi ndie pekee katika hao
waargentina wawili aliyekuwa na wasaa mzuri katika World Cup.

Huyo dogo Julian Alvarez alifanya vizuri World Cup lakini Messi ndiye aliyetamba zaidi.
Ukitoa Mechi dhidi ya Saudi Arabia mechi zilizobaki mpaka ya fainali Messi alikuwa Man of the Match.
Mwenye nafasi ya kuchukua hiyo tuzo ni Messi.
 

Mimi ni Messi fan ila naona mtu kama alvarez ananafasi kubwa mpaka sasa ana Worldcup, ana EPL bado ananafasi ya kushinda Uefa na FA. Messi ana WC na Ligue 1.
 
Mimi ni Messi fan ila naona mtu kama alvarez ananafasi kubwa mpaka sasa ana Worldcup, ana EPL bado ananafasi ya kushinda Uefa na FA. Messi ana WC na Ligue 1.
Mkuu balloon d'or ni kwa ajili ya team ama individual player?
Ukisema team performance ni kweli hiyo huyo Alvarez man City inambeba lakn ukisema individual performance Messi is far better kuliko contender yeyote this season.
 
kama sio ni msimu ambao kuna World cup ndani yake.. tuzo kwa asilimia kubwa inaeza kwenda kwa mchezaji wa Man city hususani de bruyne..

ila kwa kuwa msimu ulikuwa na World cup.. tuzo kwa asilimia kubwa itambeba messi.

2006 beki fabio cannavaro alichukua tuzo kutokana na kuwa na msimu mzuri kwenye mashindano ya WC kwa kuiongoza Italy kuwa mabingwa.
 
Hii balon door ya mwaka huu inamhusu debryune au halaand
Sema Fifa hawana tofauti na Tifutifu yetu, hivyo tupende au tusipende watampa Messi wao japo hasitahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…