Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Julian Alvarez amekuwa na wakati mzuri sana akiwa na Mancity pamoja na Argentina. Kwenye kombe la Dunia aliweza pachika goli 4 na kushinda Kombe la Dunia. Kama atashinda Uefa Alverez atakua na Advantage ya WC. Kura yangu nampa Alvarez, Haaland nje na Club hana mafanikio na Timu ya Taifa.
Lautaro Martinez licha ya kuwa na wakati mbaya kwenye Worldcup ila ana advantage ya kupewa tuzo kama atashinda Uefa Champions league. Ameisaidia sana Inter mpaka kutinga Final ya Uefa 2023, kama inter atachukua ubingwa bhas Martinez anastahili kupewa tuzo hii.
Alvarez au Martinez naona ni chaguo sahihi ya kupewa tuzo ya Ballon D’or 2023 na sio nje ya hapo.