Amefanya vizuri upande mmoja tu wakati kuna wengine wamefanya vema kwingi zaidi yake.Kwanini hastaili??
Mimi ni Messi fan ila naona mtu kama alvarez ananafasi kubwa mpaka sasa ana Worldcup, ana EPL bado ananafasi ya kushinda Uefa na FA. Messi ana WC na Ligue 1.
kama sio ni msimu ambao kuna World cup ndani yake.. tuzo kwa asilimia kubwa inaeza kwenda kwa mchezaji wa Man city hususani de bruyne..
ila kwa kuwa msimu ulikuwa na World cup.. tuzo kwa asilimia kubwa itambeba messi.
2006 beki fabio cannavaro alichukua tuzo kutokana na kuwa na msimu mzuri kwenye mashindano ya WC kwa kuiongoza Italy kuwa mabingwa.
Amefanya vizuri upande mmoja tu wakati kuna wengine wamefanya vema kwingi zaidi yake.
Hata mwaka juzi Messi alichukua ktk mazingira tatanishi nyakati ambazo Lewandowsk na Jorginho walikuwa wamefanya vizuri zaidi yake.
Hii tuzo itaanza kwenda kwa anayestahili kuanzia msimu ujao maana Cr7 na Messi hawatakuwepo Ulaya.
Yaani alvarez achukue ballon d or mbele ya halland[emoji28][emoji23] kisa tu ana world cup unaichukuliaje ballon dor, hio sio kama player of the month.
Halland anastahili kuchukua ballon d or huyo lautaro ndo kabisa mtoe hana hata chance hiyo . Ingekuwa kuchukua world cup ndo kigezo modric hasingekuwa na ballon dor tungempa varane[emoji38]
Vipi kuhusu 2010 ? Sneijdner alichukua treble na inter ( uefa champion serie A , copa italia)world cup alikua top scorer na magoli yake mengi ndo yaliipeleka uholanzi final!! Lakini alipewa Messi aliyeishia robo fainali.
Mwaka huu halland amefanya vitu vingi, he deserves to be ballon d o r winner
Hata mimi naona kabisa Alvarez ndio anastahili kubeba kama atabeba UEFA. Kama watampa Messi basi itakua ni ukatili mwingine wa soka baada ya ule dhidi ya Sneijder. Kama mwaka jana Benzema alibeba kwasababu ya kubeba LaLiga na UCL basi hata mwaka huu Alvarez anaweza kubeba
We mrembo najikuta nakupenda. Kwenye siasa unajua, mapenzi upo, Michelozzo imo, mahusiano ya kimataifa unayajua. Hakuna usipofit. Nakuvulia kofiaSema kulikua kuna WC
Mtoa mada uko ndotoni yani Balon dor apewe lautaro au alvarez? Adidas na Nike ndio wanaamua izo tuzo nani apewe siyo Vikura vyenu mnavyopiga tuzo inaenda kwa messi amtoweza kuhamini ila ndio ivyo inaenda kwake..
My pleasureWe mrembo najikuta nakupenda. Kwenye siasa unajua, mapenzi upo, Michelozzo imo, mahusiano ya kimataifa unayajua. Hakuna usipofit. Nakuvulia kofia
Ukitakata kujua umuhimu wa KDB kama uliangalia game ya Jana alivyotoka tu City wakapoteana kabisa, Haland amuombee sana KDB awe fiti maana ufungaji wake asilimia kubwa unamtegemea yy.Hii balon door ya mwaka huu inamhusu debryune au halaand