Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaSina tatizo na ukweli wake mkuu.
Njia aliyotumia kuwasilisha ukweli wake imekaa kimbea kama Mwanahawa muuza uji wa mchele Tandale. Ni kama vile CR7 amewahi kumuibia mke.
Hashindwi akiwa BarcelonaHuyo andunje Kabahatisha jana.. achukue angalau ucl 2× in row kwanza ndo afikiriwe kidogo kuwa ni bora.
Hapo kuna majungu gani haswa? au wewe ndio una majungu akilini mwako.
Ngozi nyeusi tuna matatizo sana, ni umbea umbea na majungu kwa sana.
Na mimi nasema tena "messi apewe tuzo ya uchezaji bora ya muda wote ili wachezaji wengine washindanie ballon d or kwa amani bila ya kumkosea heshima messi"
Hahaaa ile faulo si mchezo
King Messi is fire. Hata mimi jana nimemkubali.
Sometimes huwa yakibaguliwa huwa nafurahi sana yanajifanya majuaji
Ngozi nyeusi tuna matatizo sana, ni umbea umbea na majungu kwa sana.
Hakuna ata aliyetaka kufahamu kama ww ni shabiki wa messiMm sio shabiki wa messi ila goli la pili na ile free kick it was an attempt to kill. Beki bora alibaki ameshika kiuno pumbavu sana messi. Sasa sijui tunaweza kuwapiga Barcelona 4 bila pale anflied?
Mm sio shabiki wa messi ila goli la pili na ile free kick it was an attempt to kill. Beki bora alibaki ameshika kiuno pumbavu sana messi. Sasa sijui tunaweza kuwapiga Barcelona 4 bila pale anflied?
kama shabiki wa soka, utake usitake hata yeye baloteli, ukimzungumzia messi lazima unzingumzie ronaldo na ukimzungumzia ronaldo lazima umzungumzie messi. wote wana goli 600 za soka, ni unique wote in their own identity na bado wanafunga magoli kila kukicha.Wakati mtanange wa Jana wa Barcelona na Liverpool ukiendelea huku Messi aking'aa mchezaji mtukuku Maria Baloteli kupitia Instagram alipost alisema " kwa mapenzi ya Mungu naomba msimfananishe tena Messi na yule mchezaji namba 7 wa juvestus".
View attachment 1086136
nafurahi 2 leg, liver watakapofunguka kutafuta magoli watavopewa counter attacks, messi na suarez hawakuachi kama dembele!Dembele katuzingua sana, zingefika 5....ifikie wakati Messi awe anafunga yeye tu.
Pumba hizi, Ronaldo anaweka historia ya kutwaa makombe yote ya kwenye ligi kubwa duniani.Ronaldo kwenda Juve alionyesha udhaifu wake kumkimbia Messi,kama mwanaume angebaki Spain aende hata Atletico Madrid
Mchukue Pele muweke uwanjani sasa hivi sasa maana hapa mimi nazungumzia perfomance zao kwa sasa wewe unaleta ushabiki wa vyura.Wewe utakuwa tahira namba mbili ni nafas ya pele
Huyo mviziaji muwekeni kwenye top 50
Weupe wana akili tu cku zote autatawafikia.Ngozi nyeusi unajidharau wewe huo ni udhaifu wako,angesema ngozi nyeupe ungekata hadi mauno hata kama si point
Ni kweli andunje noma..
Jamaa yangu hapa mtaani ananiambia, Liverpool wakitaka kufanikiwa wamteke Messi.King Messi is fire. Hata mimi jana nimemkubali.
Kwa nini Messi asimfate CR7 italy aende hata Inter?... Hujui CR7 alimfata spain na ndiko amebeba uefa 4 na D'or 4 akiwa LA LIGARonaldo kwenda Juve alionyesha udhaifu wake kumkimbia Messi,kama mwanaume angebaki Spain aende hata Atletico Madrid
Messi anacheza mpira kwa akili sana. Alivyoipiga ile faulo. Aliconcetrate kama dakika hivi,akapiga kitu ndani. Messi hata Ronaldo anasubiri sana.Jamaa yangu hapa mtaani ananiambia, Liverpool wakitaka kufanikiwa wamteke Messi.
Mmoja haongei kabisa anasema game bado.