Baloteli asema msimfananishe tena Messi na mchezaji namba 7 wa Juve

Huyo andunje Kabahatisha jana.. achukue angalau ucl 2× in row kwanza ndo afikiriwe kidogo kuwa ni bora.
 
Sina tatizo na ukweli wake mkuu.

Njia aliyotumia kuwasilisha ukweli wake imekaa kimbea kama Mwanahawa muuza uji wa mchele Tandale. Ni kama vile CR7 amewahi kumuibia mke.
Haha
 
Naam hiyo ndio itakuwa heshima ya kipekee
Na mimi nasema tena "messi apewe tuzo ya uchezaji bora ya muda wote ili wachezaji wengine washindanie ballon d or kwa amani bila ya kumkosea heshima messi"
 
King Messi is fire. Hata mimi jana nimemkubali.


Messi kila siku yuko fire tofauti na all players, hivyo si jana tu dadaangu...na magoli anayofunga Messi kwake mbona kitu cha kawaida tu, kwa michezaji mingine kama akina ronaldo,Mane,salah n.k wakifunga magoli kama ya Messi mbona watajidai sana tu.
 
Mm sio shabiki wa messi ila goli la pili na ile free kick it was an attempt to kill. Beki bora alibaki ameshika kiuno pumbavu sana messi. Sasa sijui tunaweza kuwapiga Barcelona 4 bila pale anflied?
Hakuna ata aliyetaka kufahamu kama ww ni shabiki wa messi
 
Mm sio shabiki wa messi ila goli la pili na ile free kick it was an attempt to kill. Beki bora alibaki ameshika kiuno pumbavu sana messi. Sasa sijui tunaweza kuwapiga Barcelona 4 bila pale anflied?


Dembele katuzingua sana, zingefika 5....ifikie wakati Messi awe anafunga yeye tu.
 
kama shabiki wa soka, utake usitake hata yeye baloteli, ukimzungumzia messi lazima unzingumzie ronaldo na ukimzungumzia ronaldo lazima umzungumzie messi. wote wana goli 600 za soka, ni unique wote in their own identity na bado wanafunga magoli kila kukicha.
messi is pure talent na ronaldo is hardwork pays!
 
Ronaldo kwenda Juve alionyesha udhaifu wake kumkimbia Messi,kama mwanaume angebaki Spain aende hata Atletico Madrid
Pumba hizi, Ronaldo anaweka historia ya kutwaa makombe yote ya kwenye ligi kubwa duniani.

Messi muoga wa kujaribu.


Wote wawili wachezaji wazuri na wana style tofauti na kila mtu anaweza kusema lake kutokana na ushabiki.

Eti angeenda Atletico Madrid, to prove what?
 
Wewe utakuwa tahira namba mbili ni nafas ya pele
Huyo mviziaji muwekeni kwenye top 50
Mchukue Pele muweke uwanjani sasa hivi sasa maana hapa mimi nazungumzia perfomance zao kwa sasa wewe unaleta ushabiki wa vyura.
 
Ronaldo kwenda Juve alionyesha udhaifu wake kumkimbia Messi,kama mwanaume angebaki Spain aende hata Atletico Madrid
Kwa nini Messi asimfate CR7 italy aende hata Inter?... Hujui CR7 alimfata spain na ndiko amebeba uefa 4 na D'or 4 akiwa LA LIGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…