Balozi Amina Salum Ali amesema hana mpango wa kuendelea kutia nia ya kugombea urais kwani Rais Samia Suluhu Hassan anatosha

Nikajua hoja ya maana kumbe nae ni mlamba asali tu basi anatosha kwake yye na bwana wake na vitoto vyake mie kwangu simuoni kma anavuomuona yye ila huo ni mtazamo wake na WAZO LA MTU HALIPIGWI RUNGU
 
Unapiga kampeni za kimya kimya.... Mimi niko kanda ya ziwa, Mwanza.... Ndio kwanza huyo mama ninamskia leo, unasema alimuangusha chuma cha Chato kivipi wakati hata Tanzania Bara hajulikani, huku Mwanza ndio kabisaa... Labda akapigiwe kura Zanzibar, huko ndio wanawake upatia kura
 
Utajua wapi wewe kwani wewe ni mnec?
 
Kuimba taarabu au kuongoza nchi ambako alimshinda mzilakende, mbona sioni yaliyomo?
 
Utajua wapi wewe kwani wewe ni mnec?
Huyo shosti yako... Hajulikani bwana, usianze kumpa umaarufu wa kijinga...

Chuma cha Chato ni levo za kina Vladimir Putin, Kim Jong UN, na rais wa China.... Rais asiyeyumbishwa kiboya boya
 
Kwa hapa tulipofika, mtu yeyote anayetokea upande huo simuamini tena.....
 
Kwa nini unisemee? Hakuna mtu nsemkubali Kwa Sasa huko ccm kushinda Samia na mkimbadikisha mtaona nyuzi zangu za kupinga Mwanzo mwisho kama nilivyofanya Kwa Mwendazake.
Kulamba assli raha.

Nyerere alishatusimulia watu aina yako. Mnamuona anafaa kwa sababu anawafaa nyie
 
Amina Salum Alli Hakuwa na uwezo hata wa kuingi 5 Bora. Aliwekwa kama msindikizaji ili Magufuli aliyeletwa kuziba Ufa wa mgawanyiko wa kambi ya Membe na ya Lowasa aweze kupita kirahisi. Wafuasi wa Lowasa walipogindua njama hiyo wakaamua kumwaga ugali Kwa kumpigia Kura Amina Salum Alli.
 
She is good!. Nilizungumza nae hapo juzi kati

View: https://youtu.be/Li8Yu29CwV4?si=2HW5DiK8MJI-dRVyP.
 
Na wewe acha uwongo,alimshinda Magufuli kwa influence na power gani alivyokuwa nayo kwenye siasa za nchi hii?
Kidogo ungesema January Makamba alipindua meza ungeeleweka!!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…