Balozi Amina Salum Ali amesema hana mpango wa kuendelea kutia nia ya kugombea urais kwani Rais Samia Suluhu Hassan anatosha

Balozi Amina Salum Ali amesema hana mpango wa kuendelea kutia nia ya kugombea urais kwani Rais Samia Suluhu Hassan anatosha

Komredi ninaomba nitofautiane nawe katika hili [emoji120]

Mama yetu Kamarada Amina S.Ali hakumshinda JPM.....

JPM aliongoza vyema katika ule uchaguzi....kama kijana siku ile nilikuwepo pale MAKULU....

Baada ya kutangazwa jina la JPM UKUMBI ULILIPUKA KWA VIFIJO NA NDEREMO....hakukuwa na tofauti ya kutilia mashaka matokeo yale......

Nikueleze kuwa mh.Rais SSH ni bora sana kisiasa ,kiuwezo na kiuamuzi zaidi ya El Commandante Balozi Amina S.Ali....nitakuja kuandika uzi juu ya hilo.....

Kama Komredi Balozi Amina S.Ali angepata kura nyingi basi leo tusingekuwa na makamu wa Rais aitwaye Samia Suluhu Hassan......na tungekosa mengi sana aliyonayo mh.Rais SSH....

Alhamdulillahi kwa kuwa na SSH[emoji120]
 
Kwani wakati wa Ile nomination Magufuli alikuwa na power na influence gani?
Wakati ule habari ilikuwa Membe na Lowassa....huyo Mwendazake vita ya Panzi ikageuka furaha kwake...

Ila ndio hivo kisicho riziki hakiliki, awamu moja tu....riziki ikaisha.
Na wewe acha uwongo,alimshinda Magufuli kwa influence na power gani alivyokuwa nayo kwenye siasa za nchi hii?
Kidogo ungesema January Makamba alipindua meza ungeeleweka!!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Huyu alimgaragaza Mzilankende kutoka Chato Hadi ikapidi Wakuu wa Kitengo wapindue Meza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huyu hakuikotwa from no where kama yule mwingine Bali alikuwa Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU) huko United Nations Marekani.

Sio mwingine Bali ni Balozi Amina Salum Ally ,Wana ccm na Wazalendo wa Chato wanamuelewa sana huyu Kwa kile alichomfanyia Mzilankende.

====
View attachment 2763764
ZANZIBAR; MWANASIASA mkongwe visiwani Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali amesema hana mpango wa kuendelea kutia nia ya kugombea urais kwani Rais Samia Suluhu Hassan anatosha.
-
Mwanasiasa huyo aliyezaliwa Unguja Oktoba 24, 1957, alichukua fomu ya urais wa Zanzibar mwaka 2000 na mwaka 2015 fomu za kuomba kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
-
Balozi Amina anasema aliomba kugombea urais ili kuvunja mfumo wa kuwa na marais wa jinsi moja.
-
ā€œMimi niligombea urais wa Zanzibar, akateuliwa Karume (Amani Abeid). Michakato yote ilikuwa migumu,ā€ anasema Balozi Amina.
-
Aliongeza: ā€œSigombei tena, sasa yupo mama (Rais Samia Suluhu Hassan). Anafanya kazi vizuri. Tunamuunga mkono. Tunasifu kazi yake inaonekana,ā€ alisema wakati anazungumza katika mahojiano maalumu na waandishi wa magazeti ya HabariLEO na Daily News yaliyofanyika nyumbani kwake Mbweni, Unguja.
-
Kwamba huyu alimshinda Magufuli?, unaakili timamu kweli?kwanza hajulikani
 
Kwa nini unisemee? Hakuna mtu nsemkubali Kwa Sasa huko ccm kushinda Samia na mkimbadikisha mtaona nyuzi zangu za kupinga Mwanzo mwisho kama nilivyofanya Kwa Mwendazake.
Umejitwisha zigo la kumbana na marehemu?.

Kazi ipoo
 
Huyu alimgaragaza Mzilankende kutoka Chato Hadi ikapidi Wakuu wa Kitengo wapindue Meza 🤣🤣🤣

Huyu hakuikotwa from no where kama yule mwingine Bali alikuwa Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU) huko United Nations Marekani.

Sio mwingine Bali ni Balozi Amina Salum Ally ,Wana ccm na Wazalendo wa Chato wanamuelewa sana huyu Kwa kile alichomfanyia Mzilankende.

====
View attachment 2763764
ZANZIBAR; MWANASIASA mkongwe visiwani Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali amesema hana mpango wa kuendelea kutia nia ya kugombea urais kwani Rais Samia Suluhu Hassan anatosha.
-
Mwanasiasa huyo aliyezaliwa Unguja Oktoba 24, 1957, alichukua fomu ya urais wa Zanzibar mwaka 2000 na mwaka 2015 fomu za kuomba kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
-
Balozi Amina anasema aliomba kugombea urais ili kuvunja mfumo wa kuwa na marais wa jinsi moja.
-
ā€œMimi niligombea urais wa Zanzibar, akateuliwa Karume (Amani Abeid). Michakato yote ilikuwa migumu,ā€ anasema Balozi Amina.
-
Aliongeza: ā€œSigombei tena, sasa yupo mama (Rais Samia Suluhu Hassan). Anafanya kazi vizuri. Tunamuunga mkono. Tunasifu kazi yake inaonekana,ā€ alisema wakati anazungumza katika mahojiano maalumu na waandishi wa magazeti ya HabariLEO na Daily News yaliyofanyika nyumbani kwake Mbweni, Unguja.
-
Hamjasema kwa Bahati mbaya hii kauli!!

Ili kasa atoe KICHWA kikatwe lazima umtekenye kwanza mgongoni!

Naona elite wanatumia vichwa kumvimbisha KICHWA apoteze umakini ILI aliwe kichwa kirahisi!!

HIZI kauli za kugombea na uchaguzi za mapema hivi sio za Bahati mbaya!!!ni mpangokazi!!

Tuendelee kusubiri!!
 
Back
Top Bottom