'Balozi' ataka Rais Samia atengenezewe sanamu

Huyu
Chawa mrembo lakini
 
Msigeuze taifa letu taifa la masanamu. Kila ajae anataka sanamu. Tutakuwa na masanamu mangapi? Rais hana la kuchongewa sanamu wala nini. Kwani anafanya kazi yake anayolipwa kwa kuifanya. Period
 
Halafu baada ya kujengwa kwa sanamu lake???

Nchi imejaa vilaza kweli
 
Msigeuze taifa letu taifa la masanamu. Kila ajae anataka sanamu. Tutakuwa na masanamu mangapi? Rais hana la kuchongewa sanamu wala nini. Kwani anafanya kazi yake anayolipwa kwa kuifanya. Period
 
Demi umefurahi sana, mtoto mrito ana kichuguu matata yaan aaah wazee wa kuzoom wanamzoom tu alafu kidole cha Pete hakijavalishwa kitu ndio kwisha habari
 
Namjua huyu dada that's y nimecheka. Ingawa ni miaka mingi sijamuona
 
Hatutaki,haya mambo ya kumtengenezea mtu sanamu kabla hajafa ki kwetu ni kumchulia TU.
Hatutaki raisi wetu kipenzi afanyiwe hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…