Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Tunazungumzia Tanzania, inakuaje unahamisha Magoli?

Kama kuhamisha Magoli nami ntakwambia Southern of Sahara, Latin America, Mauaji ya weusi huko US na kwingineko

Tunazungumzia Tanzania, kwanini nyinyi ni makatili sana? Hata maeneo yenye record za kuuana, kuchinjana hapa nchini ni kwenu?

Kila Jumapili upo kanisani kuhutubia na kuomba uombewe ukitoka hapo unakwenda kuvamia Account binafsi za watu unakomba pesa halafu unasoma takwimu za kuongezeka kodi
Umeshamgeuka mwamba mwenda zake?teh teh
 
Kama uliapply na unaitwa Christian, Michael, au Patrick ni lazima ingekula kwako tu
Naskia mpaka Dau anaondoshwa pale NSSF mpaka wafagizi walikuwa wana udini(ofisi za wakiristo hawafagii...ni kweli?)
 
Waislam gan Tena,na nyinyi mnasema kuwa waislam hawana shule...

Hao alokuwa anawapendelea hapo Nssf ni wepi sass,maana huko Taasisi zingine zoote zimejaa makanisa tuh
Mkuu kwani hujui narrative ya udini humaanisha nini....udini kwa Tanzania ni kiongozi msilamu kuajiri msilamu...kwa hiyo hata wewe mkuu ukikaa pahala halafu ikatokea kwenye ajira ukaajiri msilamu basi wewe ni mdini mkuu...lakini kama wewe ni mkiristo basi siyo mdini, umetenda kwa jina la baba...
 
Unasikia kwa nani?
Kwenye mitandao mkuu mfano hapa JF....naskia Dau mdini sana yaani...anapendelea wasilamu na miaka aliyokaa NSSF hakuwahi kuajiri mkiristo hata mmoja mkuu....ni kweli...?

Huku kijijini mtandao siyo mzuri...tanesco wamekata umeme, pale tanesco itakuwa kumejaa wasilamu maana jamaa ni wazembe sana, au naongopa mkuu....?
 
Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?

Kama huyu ndio muarobaini wa uendeshaji mbovu wa bandari aletwe tu.

Ila nadhani tujikite kurekebisha 'mfumo' wa uendeshaji...'mfumo' ni bora zaidi kwetu kuliko kutegemea zaidi mtu/watu.
 
Wampe Trouble shooter hiyo kitu.
Balozi Dau atawaanyoosha na watanyooka wote na mafanikio yataonekana.
 
Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.

Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa

Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi

Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda

Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini

Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
Tanzania haina tofauti na Chad, Mali na Naigeria kwa udini,ila iko siku embe litaiva na kupasuka
 
Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?

Huyu mtu kajaaliwa uongozi. Binaadam tumejaaliwa vipaji vya kila aina, Ramadhan Dau kajaaliwa kipaji cha uongozi uliojaa uaminifu. Ma shaa Allah ni super intelligent.

Naamini ucha Mungu wake umemsaidia sana hilo. No doubt.
 
Na ile hasara ya mabilioni ya majumba yalotelekezwa kule kigamboni aliisababisha nani ?

[emoji24]
 
Back
Top Bottom