TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

Hii ya Nyani ,wananchi wale Nyani badala ya kuwapa vifaa vya kuwinda iliwafanya wananchi wamchukie.
 
namfahamu fikka, nilimfundisha sekondari, coming from the same locality, zero metres apart. Amekufa hana kitu kabisa.
 
wewe sasa unamfahamu vyema✋
 
Moja ya PhD iliyoleta shida nchini, kipindi cha JK Kila mbunge au Waziri alitakwa kuitwa Dr huyu naye ya kwake ilihojiwa sana ni kama aliipata kwa mchongo
Dogo unaijua Dk. Kamala kweli au unaropoka tu? Je, unajua kuwa alikuwa ni mwanafunzi mwenye ufaulu mkubwa Bukoba Sekondari kidato cha nne mwaka 1988 na akachaguliwa kwenda Ihungo Sekondari kidato cha tano akisomea HGE? Unajua kwa kipaji chake akiwa Ihungo Sekondari alichaguliwa kuwa Chief Secretary of Students Government Mwenyekiti wake akiwa Smart Daniel mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili?

Je, unajua alichaguliwa kujiunga na IDM - MZUMBE ambalo alikuwa na extraordinary performance hadi akabakishwa hapo chuoni kuwa Tutorial Assistant? Unajua kuwa akiwa hapo alienda kusoma ughaibuni Masters akarudi na PHD? Unayajua haya Dogo?

Je, unajua mwaka 2000 alipewa "Kazi Maalum" na Mzee Mkapa ya kutafuta CCM Members of Parliament Right Candidates nchi nzima. Na cha kushangaza kwenye Jimbo la Nkenge anapotoka yeye alimpendekeza Mwalimu Rugashoborara (RIP) awe ndiye Mgombea Ubunge, lakini Mzee Che Nkapa akalikata hilo jina na kuweka la Dk. Kamala kwa kigezo kuwa kama ameweza kutambua right candidates, he was obviously the right candidate for his constitution?

Dogo, tafuta habari sahihi kutoka vyanzo sahihi kabla ya kujifanya mjuaji!
 
huenda ulikua bado.unanyonya...kipindi cha nyuma ilisemekana hivyo mkuu
 
Heri yao sana wanaofikia umri miaka 70+

Vijana wengi sana kwa sasa wanaishia 40 na kidogo, kuufikia uzee imekuwa ni sawa na kutafuta samaki kwenye bomba la maji ya kisima
Kweli kabisa, vifo vingi sasa hivi ni vijana kati ya miaka 30 na 40. Tushukuru kwa yote kwa wanaofika miaka 70+
 

PhD kaipatia hapo Mzumbe. Masters ndio nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…