Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole na msiba. Basi Inshallah safiri salama ukirudi tuwasiliane hapa nikuulize maswali ya faragha 😳 😳 😳 😳Nipo ndugu yangu nipo.....safarini to Monduli
alirudi kutimiza alipokuwa amerushwa kiujanja ujanjaMoja ya PhD iliyoleta shida nchini, kipindi cha JK Kila mbunge au Waziri alitakwa kuitwa Dr huyu naye ya kwake ilihojiwa sana ni kama aliipata kwa mchongo
Hii ya Nyani ,wananchi wale Nyani badala ya kuwapa vifaa vya kuwinda iliwafanya wananchi wamchukie.Alikuwa mtu wa kitengo huyu Mzee...
Kafia 'Mzena'
Sema Siku Moja kwenye kampeini zake hapo Kiziba, wananchi walimlilia kuwa tumbili au ngedele kama sijakosea jina la wale wanyama wanafanana na nyani lkn wanakula sana mahindi n.k
Wakamwambia Mhe. Huku tumbili/ngedele wanatusumbua sana tunaomba msaada wako na serikali.
Akawaambia nawashauli muwe mnawala! Mkikamata kama wawili watatu mkawala hamtawaona tena.
Nilijizuia kucheka kwasbabu... Lkn dah Leo ndo nacheka ahahahahhaha Toka halo hakupata Ubunge tena...nshomile wakamzingua ahahah
RIP mdogo wangu Kamala kyoma!
Nakukumbuka sana pale Sinza Kijiweni na hapo Victoria kwa Mzee Kingunge.....
namfahamu fikka, nilimfundisha sekondari, coming from the same locality, zero metres apart. Amekufa hana kitu kabisa.Huyu bwana hamna kitu alifanya jimboni, hata kulala walau usiku mmoja alikuwa hataki anajikuta busy sana. Akimaliza uchaguzi anaweza kanyaga jimboni mara tatu hivi kabla ya uchaguzi mwingine, ila siku anazolala uko hazifiki tano miaka mitano.
Alikuwa mpole, haongei, hasikilizi watu, hana muda wa kujua shida za wananchi anapita na V8 tinted mwanzo mwisho hata habari za kusalimia wapiga kura hana.
Mama yake alifariki mwaka jana mwanzoni hivi.
Nje ya siasa alikuwa mtu mzuri kiraia, kisiasa sidhani hata kwenye ubalozi na uwaziri alikuwa na mchango wa maana kitaifa.
Faragha tena 😃Pole na msiba. Basi Inshallah safiri salama ukirudi tuwasiliane hapa nikuulize maswali ya faragha 😳 😳 😳 😳
wewe sasa unamfahamu vyema✋Alikuwa jamaa yake na Mzee wangu , mara nyingi alipatikana Morogoro kwenye lodge yake ya VANNILA pale jirani na Roundabout ya SUA
Pia alikuwa na Shamba lake kule Sangsanga kama unaelekea Mzumbe
Huyu Mzee alikuwa tayari keshayatimba kupitia kupenda kule chini , alikuwa anaendesha gari bila kuchukua tahadhari
hospitali ya Mzena
Dr Msabaha amefariki akiwa na 72Lowassa peke yake ndio katimiza umri rasmi wa biblia bila bonus hawa wengine bible inawadai bado.
Kuwa makini kijana ebu soma hapa:Ndio, mzee wetu Joseph Rwegasira bado yupo hai. Kwa wasiomjua aliwahi kuwa waziri wetu wa mambo ya nje enzi za utawala wa mzee Mwinyi.
Dogo unaijua Dk. Kamala kweli au unaropoka tu? Je, unajua kuwa alikuwa ni mwanafunzi mwenye ufaulu mkubwa Bukoba Sekondari kidato cha nne mwaka 1988 na akachaguliwa kwenda Ihungo Sekondari kidato cha tano akisomea HGE? Unajua kwa kipaji chake akiwa Ihungo Sekondari alichaguliwa kuwa Chief Secretary of Students Government Mwenyekiti wake akiwa Smart Daniel mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili?Moja ya PhD iliyoleta shida nchini, kipindi cha JK Kila mbunge au Waziri alitakwa kuitwa Dr huyu naye ya kwake ilihojiwa sana ni kama aliipata kwa mchongo
Weeeee!! mambo mengi hawezi kukosa.Marehemu hakua na mambo mengi sio 😃
70+ zinatosha, kwani unataka kuishi miaka moingapi 😆Siku za kuishi hapa duniani si nyingi...
huenda ulikua bado.unanyonya...kipindi cha nyuma ilisemekana hivyo mkuuDogo unaijua Dk. Kamala kweli au unaropoka tu? Je, unajua kuwa alikuwa ni mwanafunzi mwenye ufaulu mkubwa Bukoba Sekondari kidato cha nne mwaka 1988 na akachaguliwa kwenda Ihungo Sekondari kidato cha tano akisomea HGE? Unajua kwa kipaji chake akiwa Ihungo Sekondari alichaguliwa kuwa Chief Secretary of Students Government Mwenyekiti wake akiwa Smart Daniel mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili?
Je, unajua alichaguliwa kujiunga na IDM - MZUMBE ambalo alikuwa na extraordinary performance hadi akabakishwa hapo chuoni kuwa Tutorial Assistant? Unajua kuwa akiwa hapo alienda kusoma ughaibuni Masters akarudi na PHD? Unayajua haya Dogo?
Je, unajua mwaka 2000 alipewa "Kazi Maalum" na Mzee Mkapa ya kutafuta CCM Members of Parliament Right Candidates nchi nzima. Na cha kushangaza kwenye Jimbo la Nkenge anapotoka yeye alimpendekeza Mwalimu Rugashoborara (RIP) awe ndiye Mgombea Ubunge, lakini Mzee Che Nkapa akalikata hilo jina na kuweka la Dk. Kamala kwa kigezo kuwa kama ameweza kutambua right candidates, he was obviously the right candidate for his constitution?
Dogo, tafuta habari sahihi kutoka vyanzo sahihi kabla ya kujifanya mjuaji!
Kweli kabisa, vifo vingi sasa hivi ni vijana kati ya miaka 30 na 40. Tushukuru kwa yote kwa wanaofika miaka 70+Heri yao sana wanaofikia umri miaka 70+
Vijana wengi sana kwa sasa wanaishia 40 na kidogo, kuufikia uzee imekuwa ni sawa na kutafuta samaki kwenye bomba la maji ya kisima
Dogo unaijua Dk. Kamala kweli au unaropoka tu? Je, unajua kuwa alikuwa ni mwanafunzi mwenye ufaulu mkubwa Bukoba Sekondari kidato cha nne mwaka 1988 na akachaguliwa kwenda Ihungo Sekondari kidato cha tano akisomea HGE? Unajua kwa kipaji chake akiwa Ihungo Sekondari alichaguliwa kuwa Chief Secretary of Students Government Mwenyekiti wake akiwa Smart Daniel mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili?
Je, unajua alichaguliwa kujiunga na IDM - MZUMBE ambalo alikuwa na extraordinary performance hadi akabakishwa hapo chuoni kuwa Tutorial Assistant? Unajua kuwa akiwa hapo alienda kusoma ughaibuni Masters akarudi na PHD? Unayajua haya Dogo?
Je, unajua mwaka 2000 alipewa "Kazi Maalum" na Mzee Mkapa ya kutafuta CCM Members of Parliament Right Candidates nchi nzima. Na cha kushangaza kwenye Jimbo la Nkenge anapotoka yeye alimpendekeza Mwalimu Rugashoborara (RIP) awe ndiye Mgombea Ubunge, lakini Mzee Che Nkapa akalikata hilo jina na kuweka la Dk. Kamala kwa kigezo kuwa kama ameweza kutambua right candidates, he was obviously the right candidate for his constitution?
Dogo, tafuta habari sahihi kutoka vyanzo sahihi kabla ya kujifanya mjuaji!
PhD kaipatia hapo Mzumbe. Masters ndio nje ya nchi.Dogo unaijua Dk. Kamala kweli au unaropoka tu? Je, unajua kuwa alikuwa ni mwanafunzi mwenye ufaulu mkubwa Bukoba Sekondari kidato cha nne mwaka 1988 na akachaguliwa kwenda Ihungo Sekondari kidato cha tano akisomea HGE? Unajua kwa kipaji chake akiwa Ihungo Sekondari alichaguliwa kuwa Chief Secretary of Students Government Mwenyekiti wake akiwa Smart Daniel mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili?