TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

Heri yao sana wanaofikia umri miaka 70+

Vijana wengi sana kwa sasa wanaishia 40 na kidogo, kuufikia uzee imekuwa ni sawa na kutafuta samaki kwenye bomba la maji ya kisima
 
Ndio maana alikuwa kimya Sana. Alipotea katika radar
Alikuwa jamaa yake na Mzee wangu , mara nyingi alipatikana Morogoro kwenye lodge yake ya VANNILA pale jirani na Roundabout ya SUA

Pia alikuwa na Shamba lake kule Sangsanga kama unaelekea Mzumbe

Huyu Mzee alikuwa tayari keshayatimba kupitia kupenda kule chini , alikuwa anaendesha gari bila kuchukua tahadhari
 
He had nothing more than you, I can assure you! Alikuwa amerudi kufundisha...

Huyu bwana hamna kitu alifanya jimboni, hata kulala walau usiku mmoja alikuwa hataki anajikuta busy sana. Akimaliza uchaguzi anaweza kanyaga jimboni mara tatu hivi kabla ya uchaguzi mwingine, ila siku anazolala uko hazifiki tano miaka mitano.

Alikuwa mpole, haongei, hasikilizi watu, hana muda wa kujua shida za wananchi anapita na V8 tinted mwanzo mwisho hata habari za kusalimia wapiga kura hana.

Mama yake alifariki mwaka jana mwanzoni hivi.

Nje ya siasa alikuwa mtu mzuri kiraia, kisiasa sidhani hata kwenye ubalozi na uwaziri alikuwa na mchango wa maana kitaifa.
 
Alikuwa jamaa yake na Mzee wangu , mara nyingi alipatikana Morogoro kwenye lodge yake ya VANNILA pale jirani na Roundabout ya SUA

Pia alikuwa na Shamba lake kule Sangsanga kama unaelekea Mzumbe

Huyu Mzee alikuwa tayari keshayatimba kupitia kupenda kule chini , alikuwa anaendesha gari bila kuchukua tahadhari
Sasa nimejua. Nilipata ripoti ambayo haikuwa inafurahisha alipokuwa kule Victoire alipokuwa anasimulia
 
Huyu bwana hamna kitu alifanya jimboni, hata kulala walau usiku mmoja alikuwa hataki anajikuta busy sana. Akimaliza uchaguzi anaweza kanyaga jimboni mara tatu hivi kabla ya uchaguzi mwingine, ila siku anazolala uko hazifiki tano miaka mitano.
Alikuwa mpole, haongei, hasikilizi watu, hana muda wa kujua shida za wananchi anapita na V8 tinted mwanzo mwisho hata habari za kusalimia wapiga kura hana.
Mama yake alifariki mwaka jana mwanzoni hivi.

Nje ya siasa alikuwa mtu mzuri kiraia, kisiasa sidhani hata kwenye ubalozi na uwaziri alikuwa na mchango wa maana kitaifa.
Sasa watu wa Nkenge walimpendea nini mpaka wakawa wana mchagua.
 
Alikuwa mtu wa kitengo huyu Mzee...

Kafia 'Mzena'

Sema Siku Moja kwenye kampeini zake hapo Kiziba, wananchi walimlilia kuwa tumbili au ngedele kama sijakosea jina la wale wanyama wanafanana na nyani lkn wanakula sana mahindi n.k

Wakamwambia Mhe. Huku tumbili/ngedele wanatusumbua sana tunaomba msaada wako na serikali.

Akawaambia nawashauli muwe mnawala! Mkikamata kama wawili watatu mkawala hamtawaona tena.

Nilijizuia kucheka kwasbabu... Lkn dah Leo ndo nacheka ahahahahhaha Toka halo hakupata Ubunge tena...nshomile wakamzingua ahahah

RIP mdogo wangu Kamala kyoma!

Nakukumbuka sana pale Sinza Kijiweni na hapo Victoria kwa Mzee Kingunge.....
 
Back
Top Bottom