Balozi Dkt. Nchimbi ametenguliwa ubalozi Brazili Disemba 2021, kwanini habari zitolewe rasmi Agosti 2023? Ipo shida serikalini?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?

Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
 
Wanasema alihamishiwa Misri na sasa ndiyo wamemalizana naye. Anarudi akitokea Misri au huna habari?
 
2021 baada ya Magu kufariki alirudishwa TZ kutoka Brazil, kituo chake cha kwanza cha Kazi, yakaongewa mengi ila mwisho wa siku akapelekwa Egypt.

Hata sasa usishangae ukaja sikia jamaa anapangiwa kituo kingine cha kazi. Kuna watu hawamtaki kabisa hapa nchini.
 
Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?

Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Jasusi huyo. Kazi maalum. Msimchukulie

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Ana maajab gan na huo ujasus wake..kujaza kitambi tuu kwa pesa za walipa kodi.Majasus wa nchi wajinga wajinga mnawapa headings wakat wanaohenya field daily ambao ndio haswaa majasus wenye uzalendo na maadili ya kazi zao wanakufa masikini wasio na mbele wala nyuma in the name of Tanzania..Mnakaa kuwajadili washenz shenz hawa
 
Umeongea kitu kweli kabisa ,hizi comments za watu wengi sijui huyu ni jasusi yaani zinatia kinyaa sana .Pamoja na ujasusi wake uchwara kazi zao ni kuneemeka tu na shida za wananchi yaani Tanzania hii niyakisenge sana maana wanaosifiwa niwapuuzi puuzi tu na wazalendo hata hawafaamiki

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
2021 baada ya Magu kufariki alirudishwa TZ kutoka Brazil, kituo chake cha kwanza cha Kazi, yakaongewa mengi ila mwisho wa siku akapelekwa Egypt.

Hata sasa usishangae ukaja sikia jamaa anapangiwa kituo kingine cha kazi. Kuna watu hawamtaki kabisa hapa nchini.
Anaogopwa ndio maana hawataki a deal na domestic affairs lakini kwasasa inawezekana wameona aje kuokoa jahazi kwa upepo uliopo.
 
Kesha zeeka kizazi cha mchaka mchaka wa hoja hakiwezi.
 
Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?

Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Yule jamaa yupo vizuri mambo ya mitshamba na utashangaa mwenyewe jinsi atakavyoruka vihunzi.
 
Mkuu una uhakika huyo mtu yupo hapa nchini tangu 2021 kama ulivyosema?
 
Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?

Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Aise! Mbona wewe ni mwongo hivi? Alitenguliwa na nani?
 
Yule jamaa yupo vizuri mambo ya mitshamba na utashangaa mwenyewe jinsi atakavyoruka vihunzi.
Amerudi ila Mzee Makamba, January, Mwigulu etal njia zao za hajakubwa zinadunda, hizi habari sio nzuri kwa watafutao Ikulu.
 
Back
Top Bottom