Balozi Dkt. Nchimbi ametenguliwa ubalozi Brazili Disemba 2021, kwanini habari zitolewe rasmi Agosti 2023? Ipo shida serikalini?

Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?

Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Hakutenguliwa alihamishiwa Cairo
 
2021 baada ya Magu kufariki alirudishwa TZ kutoka Brazil, kituo chake cha kwanza cha Kazi, yakaongewa mengi ila mwisho wa siku akapelekwa Egypt.

Hata sasa usishangae ukaja sikia jamaa anapangiwa kituo kingine cha kazi. Kuna watu hawamtaki kabisa hapa nchini.
Kwa sasa ni mtu muhimu kwa chama kuelekea uchaguzi
 
Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?

Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Umeongea utumbo alafu unajiona mjanja mwenyewe. Nchimbi alipotoka Brazil alienda kuwa balozi Misri. Sasa anarudi nchini kutokea Misri
 
Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?

Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Serikali ya hilo Libibi imejaa vichwa matope
 
Umeongea kitu kweli kabisa ,hizi comments za watu wengi sijui huyu ni jasusi yaani zinatia kinyaa sana .Pamoja na ujasusi wake uchwara kazi zao ni kuneemeka tu na shida za wananchi yaani Tanzania hii niyakisenge sana maana wanaosifiwa niwapuuzi puuzi tu na wazalendo hata hawafaamiki

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Kituo kinachofuata ni POLEPOLE
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ana maajab gan na huo ujasus wake..kujaza kitambi tuu kwa pesa za walipa kodi.Majasus wa nchi wajinga wajinga mnawapa headings wakat wanaohenya field daily ambao ndio haswaa majasus wenye uzalendo na maadili ya kazi zao wanakufa masikini wasio na mbele wala nyuma in the name of Tanzania..Mnakaa kuwajadili washenz shenz hawa
Ukishatumikia huko field vya kutosha,kinachobaki ni kukaa dawatini na kuongoza vijana na nafasi political/diplomatic Kama hizo,hao walio field wanategemea michakato na upembuzi wa waliopo ofisini,na kazi hiyo siyo ya watu wanaotaka kufa wakiwa mabilionea
 
Kwahiyo wachambuzi ndio wafe mabilionea na vitambi juu au sio nao walio dawatini wana chambua nini kama hakuna watu field?
 
Shule ulifika level gani!?..hivi taarifa alizonazo jasusi mmoja juu ya Jambo Fulani zinazidi ilizonazo idara ya ujasusi!?..unazijua clearance levels huko idarani!?..kitambi ni tatizo na si afya,kula sembe na mchele halafu ukaekae uone Kama huvimbi tumbo
 
Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?

Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Mbona hukusema hiyo 2021. Tukueleweje kwa mfano
 
Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?

Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
we kweli una matatizo ya akili, Nchimbi ni nani nchi hii mpaka serikali itoe taarifa kutenguliwa kwake? Tumia akili epuka kutumia makalio kufikiri. Taarifa iliyotolewa siyo ya Nchimbi kutenguliwa ni ya kupangwa vituo mabalozi wapya. Au umetumwa ili huyo Nchimbi wako ajulikane maana hakuna hata anayemkumbuka, hakuna lolote alilofanyia nchi hii zaidi ya kwamba kuna wakati alikuwa waziri.
 
Ana maajab gan na huo ujasus wake..kujaza kitambi tuu kwa pesa za walipa kodi.Majasus wa nchi wajinga wajinga mnawapa headings wakat wanaohenya field daily ambao ndio haswaa majasus wenye uzalendo na maadili ya kazi zao wanakufa masikini wasio na mbele wala nyuma in the name of Tanzania..Mnakaa kuwajadili washenz shenz hawa
we unasikiliza taarifa za mtaani hizo, siku hizi kila mtu mjuaji ye amjuaje km ni jasusi, ushabiki wa kipuuzi tu. Hizo story za kijiweni.
 
2021 baada ya Magu kufariki alirudishwa TZ kutoka Brazil, kituo chake cha kwanza cha Kazi, yakaongewa mengi ila mwisho wa siku akapelekwa Egypt.

Hata sasa usishangae ukaja sikia jamaa anapangiwa kituo kingine cha kazi. Kuna watu hawamtaki kabisa hapa nchini.
si akatae uteuzi mafisiem yote ni malafi tu hamna mzalendo kule wala hata kaa hatokee ni kukomoana na kila mtu atakula kwa wakati ndiyo mana kila anayepata nafasi hafanyi kosa!
 
we unasikiliza taarifa za mtaani hizo, siku hizi kila mtu mjuaji ye amjuaje km ni jasusi, ushabiki wa kipuuzi tu. Hizo story za kijiweni.
Hapo kwenye kujua ni papana kidogo maana nawewe unaweza jiuliza unajuaje kama mleta mada sio nchimbi mwenyewe au mtu wake wanaejuana? Maana hii ninjamii forum bwana kila mtu yupo humu..so msinginwa hija yangu umejikita katika ku assume kana kwamba ni kwel huyu mtu ni jasusi so nime respond accordngly..Ni bora ukaamin Mungu yupo af uende umkose kuliko kudhan hayupo kisha ufike umkute amekaa paleeeee 😂😂😂
 
Ana maajab gan na huo ujasus wake..kujaza kitambi tuu kwa pesa za walipa kodi.Majasus wa nchi wajinga wajinga mnawapa headings wakat wanaohenya field daily ambao ndio haswaa majasus wenye uzalendo na maadili ya kazi zao wanakufa masikini wasio na mbele wala nyuma in the name of Tanzania..Mnakaa kuwajadili washenz shenz hawa
If you signed for that shit Go blame your maker.
Hata Bahari samaki wote hawawezi kulingana
Hata porini Kuna wanayama wadogo ni chakula cha wengine
So ni wewe ujitahidi uwe kwenye Meza ya chakula au uwe kwenye menu
Chaguo ni lako
Ama ukitahidi uwe na taaluma ambayo wenzako hawana utakuwa popote unapotaka kuwa
Ukiwa ulifail 4m4 halafu ukajiunga na jeshi au idara yeyote ya usalama halafu kujiendeleza hutaki, tegemea kuhudumia Junior officers chai.
 
Balaa kubwa hili!
hahahaha...
 
Na ndipo hapa taifa linapokwama.Watu wenye mchango mkubwa katika taifa wako nje ya system na wapumbavu mmjaa ndani ya mfumo kisa tu vigezo vya kijingaa kama hiv ambavyo wenzetu nchi zilizoendelea hawavip kipaumbele.
Angalia smartness ya mtu na vile anavyoleta value kwenye taasisi bila kujali alifel au lah.Sasa mtakaa kukumbatia watu na paper-qualifications zisizo na impact mpaka lini!????

Na kwakuligundua hili ndio maana tuna WASOMI WAJINGA SANA wasio na uwezo wa kutatua changamoto za wananchi.Ujanja wetu unaishia KISUTU tukifika kwenye international fields huko kupambana wanabaki wanaloaa vibaya sanaaa
 
K
Ana maajab gan na huo ujasus wake..kujaza kitambi tuu kwa pesa za walipa kodi.Majasus wa nchi wajinga wajinga mnawapa headings wakat wanaohenya field daily ambao ndio haswaa majasus wenye uzalendo na maadili ya kazi zao wanakufa masikini wasio na mbele wala nyuma in the name of Tanzania..Mnakaa kuwajadili washenz shenz hawa
kaka umeongea lwa uchungu sana bila shaka wewe ni mzalendo halisi. Mungu akusimamie
 
Nakumbuka alikuwa Brazil baadae karudishwa nyumbani
Kwa wasio jua ni kwamba Balozi Nchimbi ni kijana anaye pendwa sana na Kikwete.

Wakati a naomba PhD Mzumbe haku qualify, lakini kimemo kutoka Ikulu Kwa maana ya Kikwete aliwaagiza wasimamizi wake kuhakikisha anapata PhD yake kabla ya uchaguzi mkuu 2015. Akapewa!!!

Actually, Kikwete alimamani kuona ama Nchimbi au Dr Asha rose Migiro mmoja wao ndio anakuwa mgombea wa kiti Cha Urais 2015, bahati mbaya wakatilewa kwenye mchakato.

Sasa anarudishwa nyumbani ni Kwa lengo maalumu ukizingatia 2025 inakaribia na Mama hana watu wa kumsaidia kihivyo.

Lazima Kuna kazi atapewa kwenye chama ili kunusuru mambo.

Kwa maoni yangu anaweza kupewa nafasi ya uenezi ambayo kimsingi aliyepo anapwaya sana.

Kumbukeni msoga ndio anaiongoza Nchi hii.
 
Watanzania wanapenda kukuza Sana watu. Huyo nchimbi ana lipi la maana?. Si alikuwa Waziri hapa akatenguliwa au mmesahau. Kwanza, alikuwa anajiita Dr wakati hata PhD alikuwa Hana.
 
Back
Top Bottom