Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Wanasema alihamishiwa Misri na sasa ndiyo wamemalizana naye. Anarudi akitokea Misri au huna habari?Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?
Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Jasusi huyo. Kazi maalum. MsimchukulieHili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?
Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Ana maajab gan na huo ujasus wake..kujaza kitambi tuu kwa pesa za walipa kodi.Majasus wa nchi wajinga wajinga mnawapa headings wakat wanaohenya field daily ambao ndio haswaa majasus wenye uzalendo na maadili ya kazi zao wanakufa masikini wasio na mbele wala nyuma in the name of Tanzania..Mnakaa kuwajadili washenz shenz hawa
Umeongea kitu kweli kabisa ,hizi comments za watu wengi sijui huyu ni jasusi yaani zinatia kinyaa sana .Pamoja na ujasusi wake uchwara kazi zao ni kuneemeka tu na shida za wananchi yaani Tanzania hii niyakisenge sana maana wanaosifiwa niwapuuzi puuzi tu na wazalendo hata hawafaamikiAna maajab gan na huo ujasus wake..kujaza kitambi tuu kwa pesa za walipa kodi.Majasus wa nchi wajinga wajinga mnawapa headings wakat wanaohenya field daily ambao ndio haswaa majasus wenye uzalendo na maadili ya kazi zao wanakufa masikini wasio na mbele wala nyuma in the name of Tanzania..Mnakaa kuwajadili washenz shenz hawa
Anaogopwa ndio maana hawataki a deal na domestic affairs lakini kwasasa inawezekana wameona aje kuokoa jahazi kwa upepo uliopo.2021 baada ya Magu kufariki alirudishwa TZ kutoka Brazil, kituo chake cha kwanza cha Kazi, yakaongewa mengi ila mwisho wa siku akapelekwa Egypt.
Hata sasa usishangae ukaja sikia jamaa anapangiwa kituo kingine cha kazi. Kuna watu hawamtaki kabisa hapa nchini.
Yule jamaa yupo vizuri mambo ya mitshamba na utashangaa mwenyewe jinsi atakavyoruka vihunzi.Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?
Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Mkuu una uhakika huyo mtu yupo hapa nchini tangu 2021 kama ulivyosema?Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?
Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Aise! Mbona wewe ni mwongo hivi? Alitenguliwa na nani?Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana?
Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
Nimemshangaa kabisa...Mkuu una uhakika huyo mtu yupo hapa nchini tangub2021 kama ulivyosema?
Amerudi ila Mzee Makamba, January, Mwigulu etal njia zao za hajakubwa zinadunda, hizi habari sio nzuri kwa watafutao Ikulu.Yule jamaa yupo vizuri mambo ya mitshamba na utashangaa mwenyewe jinsi atakavyoruka vihunzi.
Nakumbuka alikuwa Brazil baadae karudishwa nyumbaniAise! Mbona wewe ni mwongo hivi? Alitenguliwa na nani?
Hana lolote huyo mjinga huyo. Nchi ya Tanzania tumezoea kusifu wajinga wajinga ndiyo maana tunaishia kuwa maskini.Amerudi ila Mzee Makamba, January, Mwigulu etal njia zao za hajakubwa zinadunda, hizi habari sio nzuri kwa watafutao Ikulu.
Nakumbuka alikuwa Brazil baadae karudishwaAise! Mbona wewe ni mwongo hivi? Alitenguliwa na nani?